REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

PICHA: LEO KATIKA WEEKEND BATTLE NDANI YA JAM SESSION YA 99.4 METRO FM

3:26:00 PM Add Comment

KULIA: K-Star aki-Bust Freestyle yake dhidi ya Mkali mwenzake Scale, katika WEEKEND BATTLE ya Jam Session kupitia 99.4 Metro Fm Mwanza. Yeye ndiye ameibuka Mshindi kwa Siku ya Leo. Kulia ni MENEJA Wake BABS- Mauchafu


KUSHOTO: Scale akirejesha Majibu kwa Mkali mwenzake K-Star. Kati kati ni Hasta La Vista- Frank M. Joachim


 Haya Meza Moja Sasa..Jamaa kama hapatoshi Hivi



CHRIS BROWN; UBAGUZI WA RANGI UMETUMIKA

3:14:00 PM Add Comment

BAADA ya Hakimu kumkabidhi adhabu ya Kufanya Shughuli za Kijamii kwa Muda wa Masaa 1000, Mkali wa R&B na POP Nchini Marekani amedai kuwa aliyemchomea kwa Hakimu, ni Mbaguzi wa Rangi.

Kwa Mujibu wa Taarifa za Awali, BREEZY alikutana na Nyundo hiyo, baada ya kudaiwa kuidanganya Mahakama kuwa alifanya Adhabu ya Shughuli za Kijamii, ilihali hakufanya hivyo na alitoa taarifa Feki.

Baada ya kubaini hilo, jaji alitoa Hukumu Hiyo, ambayo ni kufidia Adhabu ambazo hakufanya, katika Kesi ya kumpa Kipigo aliyekuwa Mpezi wake RIHANNA.

Hata Hivyo Breezy hakuridhika na hilo, na badala yake kuingia kunako SITE la Tweeter na kusema haya


PICHA; HATIMAYE MTOTO WA KANYE WEST HUYU HAPA

3:00:00 PM Add Comment
BAADA ya kuibana sana Sura ya Mwanae ambaye alimzaa na Kim Kardashian, hatimaye Kanye West  ameachia ama kuruhusu rasmi Picha ya Mtoto Wake NORTH WEST

MNADA BANNER