REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

PICHA: MARIO BALOTELLI ANAKULA PAZURI SANA. HUYU NDIYE MCHUMBA WAKE

4:59:00 AM Add Comment







KUNA ALARM ..MAALUM KWA AJILI YAKO

3:21:00 AM Add Comment



Amefanya Vizuri sana Track yake ya HAINAGA NOUMA ambayo mpaka hivi sasa inafanya vizuri kunako ROCK CITY PROBLEM TOP 5 COUNT DOWNS.

Hivi sasa Yuko Mbioni kuachia This Brand New Track ambayo amemshirikisha Fellow Female EMCEE, Illuminata, na Mzigo unatarajiwa kushuka Sokoni any Time kuanzioa Hii Leo.




  • SHORT BACKGROUND

STAGE NAME: NATTY E- BABY AKKY

REAL NAME: EDNA ELISHA

TALENT: HIP HOP RAPPER, RADIO HOSTING

CURRENT WORK: RADIO PRESENTER @ METRO FM 99.4 MHz-MWANZA

PLACE: MWANZA CITY

HIT SONGS: HAINAGA NOMA, VUTA TASWIRA (FEAT KALA JEREMIA), HUSTLERS PARTY (FEAT. NURU MUSIC), DUNIA MAPITO (FEAT. SAJNA), etc.

ARTISTS IN COLBORATIONS: SAJNA, NURU MUSIC, KALA JEREMIAH, CHIKU K, TIFFAH, STOCH GIRL, ILLUMINATA, J-FLANI (CANADA), KING SILVER, OP MTATA.

PRODUCERS WORKED WITH: DEEY CLASSIC, NURU MUSIC, JAY ADEN, etc


VIDEO (S) : VUTA TASIRA, (DIRECTED BY BOB RAY-KINYE PRODUCTION)

UNAMKUMBUKA MR. BEAN?..HUYU NDIYE MPENZI WAKE MPYA..

2:10:00 AM Add Comment

Ingawa wengi Huwa Tunasema, ukiishazeeka basi mapenzi yanakuwa Kwisha habari Kwa Upande wako, lakini Kuna hili Kutoka Kwake Mchekeshaji Maarufu sana Katika Dunia Hii.

ROWAN ATKINSON, Maarufu kama MR.BEAN, ambaye Hivi sasa Umri umekwenda Si Kidogo, ameonekana kuwa na Kimwana Kipya ambacho kinasadikika kumpa Liwazo la Dhati katika Kipindi Hiki.

Mr Bean hivi majuzi alitasadikika Kuachana na aliyekuwa Mkewe, SUNETRA, ambaye walidumu katika Ndoa yao kwa Muda wa Miaka 23.

Hivi sasa Mchekeshaji huyo mwenye Miaka  59 yupo katika mahaba mazito na Muigizaji LOUSE FORD ambaye ana Umri wa Miaka 31, na hivi majuzi walionekana wakila Guud Time ya Nguvu katika Eneo la WEST COUNTRY.


Wawili hawa waliwahi kukutana hapo Mwaka Jana katika Shughuli zao za Uigizaji, na Walionekana kuwa karibu hadi Hii Leo.

HIZI NDIZO BLANKET MAALUM ZITAKAZOMLINDA MTOTO WAKO DIHI YA LISASI< NA KUUMIZWA NA VITU VIZITO PINDI LINAPOTOKEA TETEMEKO

2:05:00 AM Add Comment

Kampuni ya OKLAHOMA, imeandaa Branket za kisasa ambazo zitakuwa na Uwezo wa Kuwakinga watoto wadogo hasa na Risasi, yaani Bullet Proof.

Branket Hizo ambazo ni Maalum zaidi kwa watoto wadogo, zitakuwa na uwezo wa kutoa Ulinzi wa Kutosha hasa kwa watoto hao, katika matukio Tofauti ikiwemo Hilo La Risasi ambazo zinaweza kutokea katika mazingira yoyote ya Kushtukiza.

Pia Kwa Mujibu wa PROTECHT ambao ni watengenezaji wa Branket Hizo, wamesema kuwa, BODYGUARD BLANKET zitagharimu Dolar za Kimarekani 1,000 tu, na bado zinauwezo wa Kumkinga Mtoto Mdogo na Majanga ya Kuangukiwa na Vitu Vizito, pindi linapotokea Tetemeko la Ardhi ama lolote lile.


Watoto hao watakuwa wakivaa Blanketi hizo Mgongoni na Kujikunyata, huku wakipata Ulinzi wa Kutosha, kama ambavyo picha zinavyoonekana katika www.joachimjunior.blogspot.com ama BLACK TOUCHEZ

HII NDIYO APPLICATION ITAKAYOMFANYA MTOTO WAKO ASIFANYE CHOCHOTE KATIKA TABLET AU SIMU YAKE , KAMA HAJALA CHAKULA

1:59:00 AM Add Comment

KAMA Mtoto wako analeta Uzembe wa Kula Chakula kisa kuwa Bize sana kwenye TABLET akicheza Games, basi Mbadala Umepatikana
Mtaalamu wa Masuala ya Teknolojia, RICHARD SAH, ameanzisha 

Application ambayo itakuwa na Uwezo wa Kufunga ama Ku-Lock Kila Kitu katika tablet anayotumia Mtoto wako, pindi unapofika Muda wa Kula Chakula cha Mchana, Usiku, ama Kifungua Kinywa.

Application Hiyo ambayo ambayo imepewa Jina la DINNER TIME, itakuwa na Uwezo wa Kufunga Kila kitu anachokifanya, ikiwemo huduma za Online, Message, na hata sehemu ya kupiga Simu, mpaka pale Mtoto atakapo kula, ndo kila kitu kitarudi katika hali ya kawaida.

Aidha tofauti na hayo, Application hiyo itakuwa ikionesha dakika Zilizosalia kabla ya Kila kitu kujifunga, ili awe Tayari kutafuta chakula.


Hii imetokana na  Richard Kubaini kuwa Wtoto wengi wamekuwa wakishindwa kula kwa sababu ya kuwa Bize na Kucheza Games, Kutizama Video Mbali mbali, Kuchati sana na marafiki zao, pamoja na kuongea na Simu Muda Mrefu sana

HATIMAYE LIL KIM AMEJIFUNGUA.

1:53:00 AM Add Comment

Mwaka Huu umekuwa Ni mwaka wa Baadhi ya mastaa Kujiopatia watoto, jambo ambalo linadhihirisha Hivi sasa Tunaongezeka kunako Dunia…TTM tumeinyaka.

Baada ya kufurahia Kupokea Mtoto katika Familia ya Rapper FUTURE na Muimbaji CIARA, finally TTM tumepata another good News kuhusu Kukaribishwa Kwa Mtoto kunako Familia ama maisha ya Celebrity LIL KIM.

Mnamo Mwezi February, rapper Lil Kim Baarufu kama QUEEN BEE akiwakilisha Brooklyn, alidhihirisha mbele ya Umma kwamba ni Mjamzito, na Muda wowote angeweza kupata Mtoto kwa nguvu zake mwenyezi mungu

Lakini Siku ya jana majira ya Saa 3:58 Asubuhi, Lil Kim alitimiza ndoto yake ya kukileta Kichanga ambacho amini usiamini ni Jinsia ya kike.
Mpaka kufikia Leo, Lil kim alionekana Kushindwa kuzuia hisia zake baada ya kuachia Jina la Mtoto huyo na Kusema kuwa wamempatia Jina la ROYAL REIGN ambaye pia baba Mzazi wa Mtoto Huyo 
anafahamika kwa Jina la MR.PAPERS.


Huyo ni Mtoto wa Kwanza kabisa kwa Rapper lil kim ambaye Soon , anatarajia kuachia Mixtape yake Mpya ya HARDCORE: BACK TO DA STREETZ

TIME YA CELEBRITIES NA BIASHARA: MARIAH CAREY NAYE NDANI YA BIZNESS KALI…

1:49:00 AM Add Comment


INCASE hujafahamu, Mariah carey, ha-Touch Your Body Tu, bali Hivi sasa ameamua ku-Touch Kiu yako…kama ambavyo TTM tunakushushia Story..

Best R&B Singer Ever katika satyari hii ya tatu, Mariah Carey, ameamua Kujitupa Pia katika Biashara kama Ilivyo kwa wasanii wengine ambao hivi sasa wanatengeneza mkwanja mrefu tu, kupitia Bidhaa zao mbali mbali ambazo tayari ziko Sokoni.

Hivi karibuni Mariah carey alizindua Kinywaji Chake kipya mbele ya Umati wa waandishi wa habari, ili kudhihirisha Kuwa, Not Only Music, But Also Buziness iko katika Damu yake.

Mariah carey hivi sasa atakuwa na Shughuli ya pekee kuhakikisha Kinywaji chake alichokipa Jina la GO N’ SYDE kinateka Soko hasa la wapiga “Gambe”


Bibi Huyo ambaye Hivi sasa anatizamiwa kufanya Vema na ALBAM yake ya ME I AM MARIAH CAREY, ameshirikiana na KEVIN LILES ambaye watafanya kazi kwa pamoja na Ushirikiano mzuri, ili kukipush Kinywaji hicho kilichopo katika Chupa ya Pink yenye Mchoro wa Kipepeo

PILLS N POTIONS IKO TAYARI. CHECK VIDEO YAKE HAPA

1:42:00 AM Add Comment

NICKI MINAJ kutoka YMCMB, amekuwa akionekana kama anarejea taratibu katika Game, baada ya Kutishia amani Kipindi cha Nyuma, Enzi za Moment For Life, sasa TTM tunakushushia Guud Nyuuz.

Baada ya Kuachia Audio ya PILLS N POTIONS, Finally Nick Minaj ameachia Video ambayo ilikuwa inasubiriwa Kwa hamu sana hasa na masahabiki ambao wanakubali Flows zake.

Pills N Potions inakuwa ni kazi ya Nne kama Solo Projects za Nicki, ikiwa inatoka katika Brand New Album iliyopewa Jina la THE PINK PRINT ambayo mpaka hivi sasa kwa mujibu wa wachambuzi wa Muziki Nchini marekani, haijaonekana kutikisa kihivyo, tofauti na The Pink Friday


Katika Video hiyo ambayo imekuwa Directed na DIANE MARTEL, Director wa Video ya BLURRED LINES ya Robbin Thicke, Rappa The game anaonekana Pia, akitoa mchango wa kutosha kunako Video Hiyo, ambayo mpaka Hivi sasa, imeshapata Jumla ya VIEWS zaidi ya 314.


MNADA BANNER