REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

OMMY DIMPOZ KWA NAY WA MITEGO: HAKUNA MWANAMKE AMBAE ANAWEZA KUISHI NA MWANAUME MWENYE TABIA ZA KIKE KAMA ZAKO.

12:12:00 AM
Ommy Dimpoz/Instagram

Na Baba Juti
HATIMAYE Ommy Dimpoz amejibu "Dongo " La Nay Wa Mitego kuwa "jogoo lake Haliwiki" Kauli aliyotamka katika Wimbo wake wa SHIKA ADAMU YAKO.
Nay Wa Mitego/Instagram

Kupitia Account yake Ya Instagram, Ommy alipost Video Clip akiwa Na Binti (Tunahisi Labda ni Mpenzi Wake), kisha akaandika "Bonge La Post" ambalo linadhihirisha kuwa Ommy alikuwa amejaa Povu (hasira)

NUKUU:
Barua ya wazi kwa Neema wa Mitego kwanza pole kwa Malezi ya Watoto ambao mama zao wamekukimbia, hakuna Mwanamke ambae anaweza kuishi na mwanaume mwenye tabia za kike kama zako 😂 inatakiwa ujiulize una tatizo gani maana km umaarufu mavi unao,nyumba unayo,magari unayo na hivyo ndo vitu dada zetu wanapenda lakini kwanini wanakukimbia pili kila nikiwaangalia watoto naona kabisa hamjafanana kuna umuhimu wa DNA Da Neema trust me. Hiyo video nimekuwekea hapo juu ni kukuonyesha kuwa mimi na wewe Ligi zetu hazifanani 😄 vitu navyokula mimi wewe utaishia kuviona kwenye TV maana kuvipata mpaka uwe Unapanda sana Ndege sasa mimi najaza passport ya Tatu wakati wewe hata kurasa 4 za passport yako ya kwanza hujamaliza 😜 Sasa wewe ushazoea wanawake zako wa jumuiya basi unataka kila mtu apost demu wake haya sasa Chuma hiko kimetoka ulaya kuja kufuata dodoki 😋🍆nimekujibu ili nikusaidie promo ya nyimbo yako Atleast upige na Vishoo baba 😄😄 Sema nakuomba usirushe ngumi tu maana nakujua Mzee wa Kupanic Maana katika hao mabebi mama wako kuna mmoja nilishapitaga nae Uliza vizuri atakwambia kama jogoo anawika au vipi .Ukitaka kudownload wimbo wa @naytrueboy #ShikaAdabuYako nenda kwenye bio ya Da Neema

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER