REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

#DakaHiiFasta: SALOME IMEIBUA ACCOUNT HIZI 5 ZA SAIDA KAROLI INSTAGRAM?

8:28:00 AM

Na Baba Juti
KUDADADEKI Dimondi, haya Bwana, kwanza Mzigo uko poa, laiki pia Baada ya Miaka Mingio, eti leo ndo tunamuona Saida Karoli Instagram, Ya Kweli hayo?

Hii Inaitwa ni Kupatwa Kwa SAIDA KAROLI instagram, ikiwa ni baada ya Mkwaju wa Salome Kuachiwa , Basi imeibuka account Mpya ya Instagram inayoitwea SAIDA KAROLI TZ ambayo bado wengi wanamashaka nayo huku wengine wakiishia Kucheka na kutoa Comments kadha wa kadha.

Katikia Account Hiyo, Kumekuiwa na Picha Sita Tu, yaani POST 6 Tu ambazo zimeanza kupostiwa Siku ya jana zikimuonesha Saida Karoli katika Matamasha na Picha Nyingine za Zamani, jambo ambalo limewafanya Wengi waanze kukinzana kuwa huenda ikawa ni account ya Saida Karoli au lah

Mtu wa Kwanza kuwa na Utata, alikuwa ni JACQUELINE WOLPER ambaye aliandika kama Ifuatavyo;

"Sema insta mko shapu.... kuna saida kalol sjui karol kashafungua account hahaha aise nyie wana insta ni Mamba Tuachane na mnyama anaitwa kiboko nitakua nawaonea ... shikamoo saida wa insta ila haka kangoma ka salome kanachachua mweeeee"

MPAKA HIVI sasa kuna account kadhaa ambazo zimefunguliwa kuanzia Jana

  • 1. Saidakaroli_tz - Followers : 1,130 +
  • 2.saidakaroli_updates - Followers : 4,400+
  • 3.Saidakarol-  Followers: 21
  • 4. Saidakaroli - Followers : 1,200 +
  • 5. Saida_karoli- Followers: 17


Tofauti na hilo, likaibuka Bishano la hatari kila maccount kutuhumu Nyingine kuwa sio ya Saida Karoli, bali ya Ukweli ndo hiyo inayotuhumu..
Mfano

Saida Karoli Updates
"Account iliyofunguliwa kwa jina la saidakaroli_tz haimilikiwi na saida karoli... Bali account iliyoandikwa @saidakaroli tu bila tz ndo saida na hata hivyo saida karoli hatumii tena instagram kwa sasa... Account hiyo mpya imefunguliwa na memba wa WCB|

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER