REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

AMBER ROSE: SISUMBUKI NA WANAOKOSA YANGU YA NYUMA

9:04:00 AM

Na Baba Juti
AMBER ROSE amesema kuwa Kamwe Hachoshwi na wala kuumizwa Kichwa na Wale wote ambao bado wanamkosoa kuhusu mabaya ya Nyuma ambayo amewahi kufayafanya.

Ukosoaji Huo ulitokana na yreye kuanza kujiita "Feminist" yaani Mwanaharakati wa Masuala mbali mbali mfano Siasa, Jinsia, nk, ambapo watu wengi walianza kudai kuwa, Amber Rose hatakiwi kujiita Mwanaharakati , ukizingatia awali alikuwa ni Mcheza Utupu katika Strip Clubs Nchini Marekani

Amber Rose (32) ambaye Pia ni mama wa Mtoto SEBASTIAN -The Bash, aliyemzaa na Wiz Khalifa, amesema kuwa, kwa wale wasiofahamau maana ya neno "Mwanaharakati" kamwe hawamkatishi tamaa"

"Wanajichanganya Wenyewe kwa Kusema eti mambo yangu ya Nyuma hayanifanyi kuwa stahili ya jambo fulani. Hawawezi kumwambia mwanaume kuwa, asisaidie watu fulani kwa sababu ya mambo yake ya Nyuma, ila kisa mie ni Mwanamke"

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER