REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

#DakaHiiFasta: RAY C NASEMA OLD IS GOLD..UNAHISI YUKO KATIKA UBORA WAKE KATIKA SAUTI HII ?

8:17:00 AM

Na Baba Juti
KWA wale Nyote ambao mlikuwa mmemis Kiuno Bila Mfupa-Ray C, kuna Hili la kufahamu kutoka kwake
.
Kitu ambacho Bibi Huyu anakiamini mpaka Hivi sasa, ni kwamba Cha zamani hata siku moja, kamwe hakisahauliki.

Kupitia Instgram account Yake, Ray C amedai kuwa, ukiwa na Imani, ukajikubali na ukajiamini, basi hujachelewa, ila cha Msingi ni Kufanya Uamuzi mmoja tu kuwa, hakuna linaloshindikana .

TUNAMNUKUU"
"Old has always been Gold No matter what!Kuwa na imani,Jiamini,Jikubali,hujachelewa fanya uamuzi mmoja tu kuwa hakuna linaloshindikana na Yule alie alie basi njia yako ataifanya fupi na milango ya baraka ni saba mara sabini,mtafute kwa imani na umwambie yote unahitaji kwenye maisha na atakurejeshea kila kitu chako likilichoibwa na shetani muovu tena aid ya uliyokuwa nayo hapo mwanzo kwani.Pangisha mtu mmoja tu kwwnye moyo wako ambae jina lake anajiita imani,ukiwa nae Huyo yote yatakuwa salama."

Tofauti na Hilo, RAY C ambaye alichukua nafasi kubwa sana katika Soko la Muziki wa Kizazi kipya hasa kupitia Style ya ZOUK kabla hajaingia katia Matumizi ya Dawa za Kulevya, bado amewapa matumaini Mashabiki wake kuwa Ubora wake uko pale plae Licha ya Kuwepo kwa Changamoto kadha wa Kadha ambazo zimekuwa Zikimkabili.

Utamu na Ubora Wake Upo kama Ifuatavyo.


Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER