REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

PICHA : "BABY SI TUMEACHANA LAKINI?"

12:28:00 AM


 Jamaa Huyu (Kulia) , Mkazi wa NAMUWONGO, Uganda, Hivi Majuzi alikuwa akigawa "Mkung'uto" Mzito kwa aliyekuwa Mpenzi wake (Majina yote Kapuni) baada ya kubaini kuwa alikuwa anamsaliti na Mabwana Wengine

Maudaku na Wadakuzi yanaeleza kuwa, Jamaa aliamua kumwaga Kipigo hico kwa Mrembo huyo (Kushoto) baada ya Kubaini kuwa alikuwa anaishi kwa furaha kabisa na Mwanaume Mwingine baada ya Kuvunja Mahusiano yao siku kadhaa zilizopita


Pia Inasemekana kuwa, Jombaa huyo alishamkanya Mwanamke huyo kuwa na Mahusiano na Wanaume wengine, sababu alishawekeza Pesa Nyingi sana kwa Mwanamke huyo walipokuwa katika Mahusiano yao.
Kazi kweli kweli

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER