REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MNATO WA LEO : NIMEIPENDA KABISAAAA..!!! SAMAHANI KAMA NIMEKUKWAZA

1:33:00 AM

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa Tiketi ya CHADEMA, Mhe. Godbless Lema (wa Pili Kutoka Kushoto) akiwa amepiga Mnato Maridadi kabisa, na Msoja huyu (Aliyevalia Gwanda la JWTZ) huku wakionesha alama ya Vidole Viwili ya CHADEMA.

Binafsi nimeipenda, maana wamependeza, na Msoja huyo kashindwa kuzuia Hisia zake na Uzalendo wake kwa Chama hicho (CHADEMA)

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER