Pikipiki za wafanyabiashara wa bodaboda na bajaj wa manispaa
ya Singida.
Baadhi ya madereva wa bodaboda wa Singida mjini wakiwa
kwenye viwanja vya Peoples Club kwa lengo la kufanya mgomo wa kugomea ushuru wa
SUMATRA na ada ya leseni.
Mwenyekiti wa umoja wa wafanyabiashara wa bodaboda mjini
Singida,Irunde Mwangu (wa kwanza kulia) akisikiliza kwa makini ushauri uliokuwa
unatolewa na askari polisi juu ya wao kusitisha kufanya mgomo kugomea ulipaji
wa leseni na ushuru wa SUMATRA.
EmoticonEmoticon