REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

HII NI HELMET AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA DUNIANI?

5:43:00 AM

Na Frank M. Joachim
RAIA Wa Sydney, TONY KING,amegundua Helmet ya baiskel ambayo kiujumla hakuna anayebisha kuwa Helmet hiyo haijawahi kutokea Duniani.

Helmet hiyo ambayo imepewa Jina la SMART HAT, itajumuisha Vikolombwezo Kibwena ambavyo vitaifanya kuwa ya kipekee nay a aina yake


Helmet hiyo itakuwa na NAMBA ZA USAJILI tofauti na ilivyozoeleka, huku ikiwa na INDICATORS ambazo zitakuwa zikikueleza wapi pa kuelekea.
Tofauti na hilo, Helmet hiyo itakuwa na Camera maalum ambazo zitakusaidia kutizama na kufahamu ni kipi ambacho kiko mbele yako, ikiwemo umbali wa Kitu kilichopo Mbele yako.


Kama haitoshi Helet hiyo itakuwa na BLUETOOTH MAALUM ambayo pia itasaidi katika Masuala mbali mbali



Pia itakuwa na Taa za Brake, Wiper na vinginevyo.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER