REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

BBA HOT SHOTS: IDRIS IS TOTALLY SAFE..LAKIN HILO KISS SASA, DOH

5:53:00 AM
BLACK TOUCHEZ EDITORIAL
WIKI iliyopita, Idris aliingia katika Kikaango Kizito sana ambacho kilikuwa kinaamua, aidha utoke, ama Ubaki. Sasa, mbaya zaidi ni kwamba, Idris ndiye mtanzania pekee aliyekuwa akitumainiwa sana, na mpaka sasa baodo anatumainiwa katika Jumba hilo la Big Brother

BUT, Ladies and Gentlemen….MAKE SOME NOISE FOR THE BONGO REPRESENTATIVES, IDRIS, sasababu ametisha zaidi ya kutisha kwa kuendelea kubaki na kuiwakilisha Tanzania kunako Jumba Hilo.

Kama hauna imani kuwa this Bway ataleta Heshima hapa Nchini Tanzania, basi Kill Yourself sababu mambo yanenda Vizuri

IDRIS aliweza kupata Kura NNE ambazo alilingana na GOITSE, hali iliyowafanya kubaki swalamaaaaaa

·        Wawili Wamesanzuka:
WAWILI wameweza kusepa kunako Shindano hilo huku wakiacha nafasi izidi kuchukua kasi yake hasa kwa Washiriki wachcahe waliosalia

KURA 2 Ndizo zilimfanya MR 265 Kutoka Malawi aweze kuyaaga Mashindano hayo na kuachia Ngazi Kabisa, huku Kura Moja, ikimfanya SAMANTHA Kutoka SOUTH AFRIKA aondoke bila kigugumizi chochote

KURA 3 Zilimfanya MACKY 2 aponee kunako tundu kla Sindano na Kubaki katika Jumba hilo.

·        Busu La Nguvu Baina Ya Idris Na Ellah
AFRIKA Mashariki inaweza ikajikita zaidi katika kutoa Support kwa washiriki wake wawili ambao ni IDRIS kutoka Bongo na ELLAH Kutoka Nchini Uganda

Kwanini tunasema hivyo, Baada ya Idris kusaka faraja kwa muda kadhaa kutoka kwa Ellah, hatimaye ameipata, baada ya Kujikuta akidandiwa na Busu la Mdomoni yaani LIPS LOCK

Itamuumiza GOITSE?

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER