![]() |
HII ndiyo Kauli Mbiu ya Mwaka Huu katika Kupiga Vita Madawa Ya Kulevya |
![]() |
MOJA ya Mabanda yaliyoandaliwa kwa ajili ya Siku ya Kupiga Vita Madawa ya Kulevya, Katika Viwanja vya Nyamagana, Mwanza |
![]() |
MTAALAMU akifafanua Jambo Juu ya Banda Lake |
![]() |
Washiriki katika Banda Lao |
![]() |
MGENI RASMI akisikiliza kwa Umakini sana, Maelezo Kutoka Banda la Pili |
![]() |
JUKWAA maalum kwa ajili ya Wageni waalikwa |
![]() |
MAANDAMANO |
![]() |
BURUDANI ya Ngoma aina ya "KADOGOLI" ilikuwepo kuipamba Siku |
![]() |
MOJA ya Vijana ambao wametumia Madawa ya Kulevya Kwa Muda Mrefu, na Hivi sasa Wameachana na Matumizi ya Dawa Hizo |

![]() |
Vijana Wengine ambao wameachana na Matumizi ya Madawa ya Kulevya |
![]() |
Waathirika wa Madawa ya Kulevya, ambao mpaka hivi sasa wanatumia Dawa Hizo na hawajui ni Lini wataacha |
![]() |
MEZA KUU: Meza ya Mgeni Rasmi akiwa na Wenyeji wake katika Maadhimisho Hayo |
![]() |
WAGENI waalikwa (PICHA ZOTE NA BLACK TOUCHEZ) |
EmoticonEmoticon