LOS ANGELS,Marekani
KITENGO
cha Huduma kwa Watoto na Familia kutoka jijini Los Angels, kimesadikika
kuanzisha Uchunguzi dhidi ya wazazi wawili, Will Smith na Jada Pinket, hasa
kuhusu Picha ya Mtoto wao wa Kike Willow Smith, iliyomuonesha akiwa kitandani
na Muigizaji MOISES ARIAS.

Kwa Mujibu
wa Chanzo kimoja ambacho kipo karibu na familia Hiyo, kilifunguka kama Sio
kumiminika kuwa, Upelelezi ama Uchunguzi Huo, Ulianza Juma lililopta, yaani
wiki iliyopita Kuhusu Ishu Hiyo.
Hata Hivyo
bado Chanzo hicho kimezidi kumiminika kuwa, Will Smith pamoja na Mke wake Jada
Pinket, wameonekana kutoa ushirikiano Mzuri kuhusu Uchunguzi huo, ambao
Kiujumla unadhamira ya kufahamu kilichokuwa kikiendelea baina ya watoto hao
wawili.
Kama
Utarudisha kumbu kumbu zako, TTM tuliwahi kukupa Mtonyo kuwa, mama Mzazi wa
Willow, Jada, alisema kuwa Picha hiyo haikumaanisha Kile ambacho Wengi
wanakidhania.
EmoticonEmoticon