Jana Ilikuwa ni kumbu
kumbu ya Kuzama kwa Meli ya MV Bukoba iliyotokea May 21 Mwaka 1996 Mkoani
Mwanza ikitokea Bukoba Mkoani Kagera.

Flavian Matata ambae
katika ajali hiyo alimpoteza mama yake mzazi sanjari na binamu yake,
amewashukuru watu wote waliohudhuria katika kumbukumbu hiyo ya Ajali ya
Mv.Bukoba ambapo amesisitiza kwamba jambo kubwa zaidi ni kuwaombea wale wote
waliopoteza maisha wapumzike kwa amani.
Ambwene Yessaya (AY)
alikuwepo siku ya jana katika maeneo hayo, na Hiki Ndicho Walichokizungumza
EmoticonEmoticon