Nani Asiyemfahamu HuddaH…nani ambaye hajamsikia
Huddah Kwa muda mrefu?
Mitaa ya Kenya kuna habari zilizovujishwa na
shushushu mmoja aliyeripoti kwa mtandao wa Ghafla akiambatanisha na picha kuwa
mshiriki wa BBA ‘The Chase’ Huddah Monroe amefulia.
Picha hizo zinamuonesha Huddah akiwa
amekumbatiwa na mwanaume huyo na nyingine wakiwa wamekaa na amemshika mabegani.
Hata hivyo sio kila ushahidi wa picha halisi ni
wa kweli, mrembo huyo alipotafutwa alikanusha na kuzifanyia utani taarifa hizo
na kudai kuwa yeye anaishi Kilimani na sio Parklands na kwamba mtu anaeonekana
nae kwenye picha hiyo ni ndugu yake.
“He’s crazy! I live in Kilimani.
That’s my cousin’s pal and that’s his house in Park Road.” Amesema
Huddah Monroe.
EmoticonEmoticon