ATLANTA, Marekani
50 CENTS amejitokeza na Kudai kuwa hakumtelekeza
mtoto wake siku ya graduation yake, kama ambavyo mwanae huyo alilalamika.

50 Cents
anadaiwa kujiskia Vibaya baada ya kuona Picha ya Mtoto wake Huyo akiwa
amemkumbatia mama yake huku akionekana Kulia, na amevalia Joho, na kuandika
maneno makali kama yale.
Hata Hivyo, TTM imebaini kuwa, 50 Cents alidai
kuwa hakuambiwa ni lini, na Ni wapi ambapo Mahafali ya Mwanae yalifanyika,
tofauti na hilo angehudhulia.
FIDDY amekuwa katika kutokuelewana na mama wa
Marquise, na Dio maana huenda hakupewa hata hiyo taarifa kuhusu Graduu ya Mtoto
Wake huyo wa Kwanza, iliyofanyika katika Shule Moja huko Jijini ATLANTA
CHECK PICHA ZA MTOTO HUYU WA 50 CENTS
EmoticonEmoticon