SIMPLE AND CLEAR....Huyu Hapa EYEZ
“Mi ninachosema wasimuhukumu mtu kwanza wala wasipandwe,
wanahitaji kujua ukweli na wasifanye matukio yoyote ambayo ni ya uvunjaji wa
sheria na pia wachague marafiki, wawe wastaarabu, wawe wapole na wawe na
subira… wasimjengee chuki binadamu, mi mwenyewe nimekua mtu wa kusamehe sana
ndio maana nakwambia wamwachie Mungu, kwa kuwa mimi sina chuki na mtu siwezi
kumshauri mtu awe na chuki na mtu lakini malipo ni hapahapa duniani na Mungu
yupo wamwamini sana sababu ndio anafanya kila kitu”
EmoticonEmoticon