Na Rich Sam
WATU WA MUNGU Toni Braxton hivi sasa ameibua kitu kingine ambacho pengine tulikuwa hatukifahamu lakini kumbe ni sehemua ya kipaji chake, na ishu yenyewe ni kuhusika katika Filamu na uigizaji Moja kwa moja pia.

Ukiachilia mbali suala la Filamu, Toni Braxton amerudia na kusema kuwa Hajafunga Ndoa ya siri na Rapper Birdman ingawa tayari ameshavalishwa Pete ya Uchumba kwa hiyo kama mambo yataenda sawa, bais kila kitu kitakuwa mwake sana
Pia aliongeza kuwa, Kuwa na Birdman katika mahusiano yao, kumemfunza viztu vingi ikiwemo kupata Support anayoihitaji, lakini ishu ya Ndoa ya Siri haina ukweli wowowte ndani yao, lakini mambo mengine, wanaamsha fresh tu.
EmoticonEmoticon