LICHA ya Wengi kuhisi kuwa, huenda
Chris Brown na Rihanna hawatokutana kwa Mara Nyingine Tena, This Time Imekuwa
Tofauti..
Chris Brow amejikuta akikutana na
Rihanna, ambaye alikuwa mpenzi wake kabla ya kumwagana chini, katika Shughuli
maalumu inayofahamika kwa jina la ROC NATION’S SUMMER CLASSIC CHARITY BASKET
BALL, iliyofanyika ndani ya Weekend Hii
Ingawa kuna Muda alionekana
kufurahia game hilo, lakini amini usiamini, alikuwa eneo la mbele kabisa ambalo
piga ua, ilikuwa ni lazima amtizame Chris Brown
endapo ataushika Mpira
EmoticonEmoticon