SIKU kadhaa zilizopita, BLACK TOUCHEZ ilitaka
Kuondoa ubishi kuhusu jamaa wawili ambao mpaka Hivi sasa wanasumbua sana kunako
Music Industry Ulimwenguni.
Sasa Baada ya kuwaweka katika Ulingo mmoja,
kunako Account ya Hulkshare ya BLACK TOUCHEZ, Finally Ubishi Umeisha Ndani ya Wiki ya Kwanza kumalizika ndani ya
Mwezi huu Juni.

EmoticonEmoticon