NEW YORK, Marekani
TTM tumenyaka Mchakato wa Fasta Kuwa Mlinzi
aliyevujisha Video Clip ya Solange akimpiga Jay Z ndani ya Lift ya Hotel ya
Standard, AMEFUKUZWA KAZI.

Uongozi wa Hotel Hiyo ulilaani vikali Kitendo
kwa kuvuja Video Footage ya Solange na Jay Z kunako Social Networks, kwani Ni
Kinyume cha Maadili ya hotel hiyo hasa katika Siri za wateja wao.
Pia Uongozi Huo umesema kuwa taarifa zote za
Kufukzwa Kwa Mfanyakazi huyo, zinapatikana katika Idara zinazoshughulikia
Masuala ya Uharifu
EmoticonEmoticon