Ukirejesha Kumbukumbu yako Kidogo
hapa Tanzania, Inasemekana kuwa, Mpenzi wa Ney wa Mitego, aliwahi kummaindi Ney
baada ya kuonekana akipapaswa kifua Chake na Warimbwende Kibao, katika Video ya
NAKULA ujana, lakini baadaye alimuelewesha na Kila Kitu kiikaenda sawa.

Sasa wakifafanua Kuhusu Reaction ya
Wapenzi wao baada ya Video hiyo Kutoka huku ikionesha utukutu wa Kimahaba hasa
ya Kubiringika kitandani, jamaa hao wamedai kuwa haikuwa Shida sana Ukizingatia
kuwa walikuwa wanafahamu Kinachoendelea.
Tofauti na Hilo, WANNE hao
wameongeza tangia wanaanza mahusiano na wapenzi wao, basi ilikuwa inafahamika
kabisa kuwa wao ni wasanii na wanaweza fanya lolote ili kufikisha ujumbe wao
kwa hadhira.
Aidha SAUTI SOL wamemiminika kuwa,
Hawakuwaruhusu wapenzi wao kuhudhulia Zoezi la upigaji Picha wa Video, maana
wasingeweza kuhimili kile ambacho kilikuwa Kikifanyika, na Ndio maana
wakawazuia kutokea Location, ingawa moja kwa Zote, wapenzi hao wanafahamu kuwa
ile ni kazi na Ni Biashara ambayo inawapa Mikwanja ya Kujikimu
EmoticonEmoticon