REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

WEEKLY TOUCHEZ: MAUZO YA ALBAM YA EMINEM, RICK ROSS, IGGY AZALEA NA BEYONCE YAKO HIVI MPAKA KUFIKIA SASA

5:52:00 AM

BLACK TOUCHEZ HQ/HNHH
NI muda kadhaa sasa tangia wasanii kadhaa nchini Marekani wameweza kushusha albam zao kunako soko la Muziki Ulimwenguni

Moja kati ya wasanii ambao waliweza kuteka soko la Muziki kwa Kushusha Albam zao, ni pamoja na RICK ROSS (HOOD BILLIONAIRE), EMINEM ( SHADY XV), BEYONCE ( BEYONCE-THE PLATNUM EDITION) na IGGY AZALEA (RE-CLASSIFIED)


Na Albam za wasanii hao zimeonesha kuchuana kuliko vile ambavyo wengi labda walitarajia:

RICK ROSS-HOOD BILLIONAIRE: Imeuza Nakala 65,000 mpaka 70,000 ndani ya Wiki ya kwanza

EMINEM-SHADY XV : Imeuza nakala 140,000 Mpaka 150,000 Ndani ya Juma la Kwanza mpaka sasa

BEYONCE- BEYONCE PLATNUM EDITION: Imeuza Nakala 50,000 mpaka 55,000 Mpaka hivi sasa


IGGY AZALE- RE-CLASSIFIED: Imeuza nakala 11,000 Mpaka 13,000 mpaka hivi sasa

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER