KAMPUNI ya Apple inatarajia Kuingiza Sokoni simu
ya I PHONE itakayokuwa na Uwezo wa Kupima Presha ya Damu/ Blood Pressure kwa
Mtumiaji.

Naye Naye Makamu wa rais wa SOFTWARE ENGINEERING
katika Kampuni ya Apple, CRAIG FEDERIGHI, ameongeza kuwa, Simu hiyo itatoa
Taarifa automatically kwa Daktari wa familia, endapo hali ya Mzunguko wa damu
itafikia katika hatua Mbaya.
Tofauti na hilo, kifaa hicho kitatoa taarifa kwa
Wazazi, Endapo watoto wao watakuwa wakuidownload Miziki Mbali mbali na hata
Video Games
EmoticonEmoticon