BAADA ya Kutambulisha Mixtape yake ya OXY-GEN,
rapper na Producer wa Metro Fm , Mwanza, Abdallah “Oxs” Okelleky, amesema kuwa
Mwezi wa Sita Ni “Project After Project”

Pia Oxs ambaye Bado anakita na Kwaju la “PARTY”
ambalo ameshirikiana na Juma Nature na Q-The Don, amesema Kuwa Traxx zake
Zitashirikisha wasanii Mbali mbali, ambao anaamini wako vizuri katika Music
Industry , na wanajua wanachokifanya
“Ninawakubali Wasanii Wote Nchini Tanzania, na
Afrika Mashariki Kiujumla. Ila Niko tayari kufanya kazi na wasanii ambao
Ninaamini Wanajitambua, na wako serious na Game. Nikishapata Ushauri toka Kwa
Meneja wangu kuhusu Msanii ambaye nitafanya naye kazi, basi amini Msiamini,
Mwezi wa Sita itakuwa ni PROJECT AFTER PROJECT”
Mixtape ya OXY-GEN ipo Sokoni Hivi sasa, na
Inapatikana kwa yeyote anayehitaji
EmoticonEmoticon