MIKWAJU MIWILI inayomhusisha Msanii ABDALLAH “OXS” OKELEKY, imeweza
kumuweka katika heshima yake baada ya kupewa RANK No. 1 Katika Jiji la Mwanza.
(KWA MUJIBU WA REVERBANATION)

“Ninafarijika kupata heshima Hiyo, na nnadhani
inadhihirisha namna ambavyo Ninajituma, na ninatakiwa Kudeal na Muziki wangu.
Big up to Ma Fanz”

EmoticonEmoticon