![]() |
MAJEMBE KAZINI: (KUTOKA KUSHOTO) ROBERT TAWILE, MASOUDI "MING'ARISHO NA RAMA DEE |
![]() |
HATA MAHARUSI PIA: MOJA KATI YA MAHARUSI WALIOHUDHURI NA KUFURAHIA HUDUMA YA CLARA SALON, AKISHUKA KUTOKA SALON KWA MBWEMBWE ZOTE |
![]() |
LETE MIGUU YAKO NA MIKONO YAKO: OFISI YA MASOUD "MING'ARISHO", KWA AJILI YA KUSHA, MIKONO PIA |
![]() |
NAKULA KICHWA : RAMA DEE AKIWA KAZINI KAMA KAWAIDA |
![]() |
NIPO KAZINI: MASOUDY "MING'ARISHO AKISHUGHULIKA NA UREMBO WA MIGUUNI |
![]() |
BAADA YA KUNYOLEWA, NA HATA KUFANYIWA UREMBO WA KICHWA, KICHWA KINASAFISHWA NAMNA HII |
![]() |
ROBERT TAWILE AKIWA MZIGONI KAMA KAWAIDA |
![]() |
SCRUB TIME: MWANADADA LINAH AKIPIGA SCRUB USO WA MTEJA |
![]() |
AKINA DADA WA UPANDE WA SALON YA KIKE WAKILA MZIGO KAMA KAWAIDA |
EmoticonEmoticon