Mwanamuziki Monica katika siku ya Mama duniani, ameamua
kuwashirikisha mashabiki wake juu ya habari njema kuhusiana na yeye kuwa
mjamzito akiwa anategemea mtoto wake wa tatu sasa.

Licha ya Monica kutokusema zaidi kuhusiana na ujauzito wake,
tayari imefahamika pia kuwa, mtoto huyu mtarajiwa wa staa huyu
atazaliwa mwezi
Septemba mwaka huu.
EmoticonEmoticon