Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoka
kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha { AICC } Baada ya kuufunga
Mkutano wa Mafuta na Maonyesho wa Afrika Mashariki kwa niaba ya Rais wa Zanzibar Dkt.. Ali
Mohammed Shein
Kulia ya Balozi ni Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania
Mh. George Simba Chawene, na kushoto yake ni Waziri wa Nishari wa Uganda Mh.
Irin Muloni na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Mh. Jesca Eriyo..
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
akiufunga Mkutano wa sita wa Mafuta wa Mataifa ya Jumuia ya Afrika Mashariki
uliofanyika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Arusha kwa Niaba ya Rais
wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein.
EmoticonEmoticon