NI HAPA : Hapa ndipo mahali ambapo Helkopta ya Mgomea huyo wa Urais nchi Paraguay, Lino Oviedo imepata ajali na kusababisha kifo chake
ENZI ZA UHAI WAKE : Lino Oviedo katika moja ya Kampeni zake za Uchaguzi Nchini Paraguay
MWILI WAKE : Mwili wa Marehemu Oviedo ukiwasilishwa Hospitali kutoka eneo la Tukio
KILIO : Wafuasi wa Marehemu Lino Oviedo wakilia kwa uchungu baada ya kupata taarifa za Kifo chake
Mgombea
wa urais nchini Paraguay, Lino Oviedo amefariki dunia katika ajali ya
helikopta.
Oviedo,
mwanajeshi mstaafu aliyekuwa na cheo cha Jenerali, alikuwa akisafiri
kuelekea kwenye kampeni kaskazini mwa nchi hiyo, akiwa pamoja na
mlinzi wake.
Rubani
wa helikopta hiyo alitoa taarifa ya hali mbaya ya hewa kabla ajali
hiyo haijatokea na kusababisha vifo vya watu wote watatu waliokuwemo
ndani.
Oviedo
alisaidia kuongoza mapinduzi miaka 24 iliyopita na kumuondoa
madarakani dikteta Alfredo Stroessner ambaye alikuwa madarakani tangu
mwaka 1954.
EmoticonEmoticon