Mazao yalioathiriwa katika Shamba
Sehemu nyingine ya mazao hayo yaliyoharibiwa na Upepo huo
Baadhi ya Wanakijiji wakishangaa na kusikitishwa na Upepo huo ambao umeharibu makazi yao
Moja ya Nyumba ambayo imeathiriwa na Upepo huo
Wanakijiji wakikagua Mazao yao yaliuoharibiwa na Upepo wa Kapululu
Wakazi wa Kijiji hicho wakiwa Nje ya mopja ya Nyumba iliyoathiriwa
Baadhi ya Mitit ikiwa imeng'olewa na Upepo huo katika Kijiji cha Ntendo
Nyumba ikiwa imeharibika
Sehemu nyingine ya Mazao yaliyoharibiwa
Wakazi wakiwa katika eneo la Tukio
NA SIMON MANYIKA. RUKWA.
Wakazi wa Kijiji cha Ntendo katika wilaya ya SONGEA, Mkoani Rukwa, wameharibiwa Makazi yao na Mazao yao baada ya kutokea Upepo unaofahamika kwa jina la kamshuluku au Kapululu hapo juzi, usiku wa kuamkia Jana.
Upepo huo ambao kiujumla huwa sio mkubwa sana, umefanya madhara tofauti ikiwemo kuharibu nyumba za Wanakijiji na Baadhi ya Mazao ambayo yalikuwa yamepandwa Shambani, kama inavyoonekana katika Picha
EmoticonEmoticon