PATRICK
LIEWIG
TAREHE YA KUZALIWA;-
|
04.10.1950
|
UMRI;-
|
62
|
UTAIFA;-
|
UFARANSA
|
WASTANI WA KUONGOZA TIMU KAMA
KOCHA MKUU;-
|
1,97 Years
|
WASTANI WA KUFANIKIWA AMA KOCHA :
|
30,77 % Wins
38,46 % Draw 30,77 % Loss |
MFUMO WA UCHEZAJI ANAOUTUMIA
SANA:
|
FOOTBALL
DEGREES (Elimu yake katika soka)
KOCHA
MKUU – CHAMA CHA SOKA CHA UFARANSA
1) High
Level Diploma for Professional Team and High Level Diploma
(3rd Degree) for Professional Academy delivered by the French
National Technical Director : Gérard HOUILLER
2) Training
Courses for PHYSICAL COACH
June 1999- University of Dijon -
Professor COMETTI
UZOEFU
KATIKA KAZI YA UKOCHA
1) KUTOKA 1989-1999 :
PARIS SAINT GERMAIN
Kocha
mkuu wa kituo cha soka cha PARIS SAINT GERMAIN(PSG)
Katika kipindi chote alifanya kazi
kwa ushirikiano na timu ya wakubwa (1989-1999)
Majumu yake katika timu ya PSG:
Timu zote za umri chini ya miaka 16,18 na 20 ( katika kombe la French
Junior) Gambardella
Ifuatayo ni orodha ya majina ya makocha wakuu wa timu ya wakubwa
aliofanya nao kazi huku yeye akiwa kocha wa timu za vijana;-
1989
- 1990: kocha mkuu: Tomislav
IVIC
1990
- 1991: kocha mkuu: Henri MICHEL
1991 - 1994: kocha mkuu : Artur
JORGE
1994 - 1996 : kocha
mkuu: Luis FERNANDEZ
1996 - 1998: kocha mkuu: Ricardo
GOMEZ
1998
- 1999: kocha mkuu : Alain
GIRESSE
Na
kutoka Oct 1998: Kocha mkuu Philippe BERGEROO
2) 1999 - 2001: AL WAHDA
CLUB (ABU DHABI – FALME ZA KIARABU)
Ø KOCHA MKUU WA Timu za vijana chini ya miaka18 na 21
Akiwa na timu hizi aliweza kuchukua
la kombe la National League na National.
3) 2001 - 2003 :CHAMA
CHA SOKA CHA FALME KIARABU.
Kocha
mkuu wa timu zote za taifa kwa vijana.
Akiwa anafanya kazi na chama cha soka cha falme hizi za kiarabu
alifanya kazi kwa mgawanyo uuatao;-
(a) 2001 - 2002: kocha mkuu
wa timu ya umri chini ya miaka 20
(b) January 2003:
mwangalizi wa chama cha soka cha falme za kiarabu katika mashindandano ya kombe la mataifa
huru nkwa vijana chini ya miaka 20 nchini BURKINA FASO
(c) 2002 - 2003:
kocha mkuu U20 na pia kocha mkuu timun ya U16 akiwa na Jean Francois JODAR (kocha
mkuu wa timu ya taifa)
4) 2004 - 2009 :
ASEC MIMOSAS (COTE D’IVOIRE)
(A)2004–2009: KOCHA MKUU WA
TIMU
i. Bingwa wa kombe la ligi ya taifa(mwaka 2004–2005–2006)
ii. Bingwa wa kombe la taifa(2005 – 2007 – 2008)
iii. bingwa wa Ivorian
Super Cup (2005-2007-2008-2009)
iv. kwa mara 3amefanikiwa kufika hatua ya robo fainali kombo la klabu bingwa wa afrika
v. kwa mara moja amefanikiwa kufika hatua ya nusu fainali
klabu bingwa ya afrika
vi. kocha bora wa Cote d’Ivoire (2004-2005 -2006)
vii. amewahi kutajwa kama moja wa makocha watatu bora barani
afrika pamoja na kocha wa timu ya
taifa ya misri Hassan shehata na kocha
wa AL-AHLY) katika kuwania nafasi ya
kocha bora wa mwaka 2006 (mshindi alikuwakocha wa timu ya taifa ya misri
baada ya kuchukua kombe la mataifa huru ya afrika 2006)
(B) kutoka May 2009:
Alipewa majukumu mengine katika
timu kama kuunganisha mahusiano na mwenyekiti wa timu,kusimamia na kusimamia
ukuaji wa klabu.
(C)June 2009-June 2011 : STADE TUNISIEN: KOCHA MKUU WA
TIMU
2010 : ½ Finalist National Cup –
Third In National League
2011 : ½ Finalist
National Cup – Third in National League
(D) September
2011- June 2012 : CLUB AFRICAIN ( Tunisia )
i. mkurugenzi wa ufundi
ii. mkurugenzi mtendaji wa klabu
iii. kocha mkuu wa timu
Uzoefu
mwingine katika kazi:-
1) February 1994:
Alikuwepo katika timu ya kama mtaalamu wa ushauri FC NANTES
2) June 1995 :
mwangalizi wa chama cha soka cha ufaransa katika michuano ya ulaya kwa vijana
wa U17-ufaransa mwaka 1995
EmoticonEmoticon