Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza katika
kikao chake cha Sekretarieti na Makatibu wa CCM wa mikoa, leo, Desemba 11,
2012, katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara)
Mwigulu Nchemba na wengine kutoka kushoto ni Makatibu wa NEC, Asha-Rose Migoro (Siasa na Mambo ya Nje),
Zakia Meghji (Uchumi na Fedha), Nape Nnauye (Itikadi na Uenezi) na Naibu Katibu
Mkuu wa CCM (Zanzibar) Vuai Ali Vuai.
Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana akizungumza katika kikao chake cha Sekretarieti na Makatibu
wa CCM wa mikoa, leo katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu
ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar)
Vuai Ali Vuai
Makatibu wa CCM wa mikoa wakiwa kwenye mkutano wao na Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, leo katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo
ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Vuai Ali Vuai
akisalimiana na Katibu wa NEC, Siasa na Mambo ya Nje, Asha-Rose Migiro, kabla
ya kuanza kikao cha Sekretarieti na Makatibu wa CCM wa mikoa, leo katika ukumbi
wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es
Salaam. Katikati ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Katibu wa
NEC, Oganaizesheni Muhammed Seif Khatib. (Picha na Bashir Nkoromo).
EmoticonEmoticon