REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

EXCLUSIVE: ALIYEVUJISHA VIDEO YA SOLANGE AKIMPIGA JAY Z ATIMULIWA KAZI.

8:11:00 AM

NEW YORK, Marekani
TTM tumenyaka Mchakato wa Fasta Kuwa Mlinzi aliyevujisha Video Clip ya Solange akimpiga Jay Z ndani ya Lift ya Hotel ya Standard, AMEFUKUZWA KAZI.

Kwa Mujibu wa Info zilizoshushwa na Kitengo Chimbua Chimbua, inasemekana Kuwa Mlinzi Huyo ambaye Jina lake halijawekwa Hadharani, alipewa Kiasi cha Cha USD 260,000 sawa na Shilingi za Kitanzania takriban Milioni 390, ili kutoa Video Hiyo kwa Mtandao wa Kidaku Nchi marekani.

Uongozi wa Hotel Hiyo ulilaani vikali Kitendo kwa kuvuja Video Footage ya Solange na Jay Z kunako Social Networks, kwani Ni Kinyume cha Maadili ya hotel hiyo hasa katika Siri za wateja wao.


Pia Uongozi Huo umesema kuwa taarifa zote za Kufukzwa Kwa Mfanyakazi huyo, zinapatikana katika Idara zinazoshughulikia Masuala ya Uharifu

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER