WELCOME TO ..... (KARIBU KATIKA..)
REPIN ROCK CITY
KIMATAIFA: Wakimbizi wafia kambini Cameroon
BBC Swahili
Taarifa kutoka nchini Cameroon
zinasema kuwa wakimbizi waliotoroka kutoka kwa wapiganaji wa Boko Haram
wamefariki wakiwa katika kambi ya wakimbizi.
Baadhi ya wakazi waliokuwa kambini katika mji wa
Fotokol karibu na mpaka wa Nigeria, wanasema kuwa mazingira katika kambi hizo,
yalikuwa mabaya sana na kwamba watoto walifariki baada ya kuugua Malaria.
Wengine walilalamika kuwepo uhaba wa chakula
kambini na kwamba walilazimika kuiba chakula kutoka kwa mashamba ya wenyeji.
Wadadisi wanasema ushirikiano kati ya Nigeria na
Cameroon katika kupambana na wapiganaji wa Boko Haram umekuwa mdogo sana licha
ya ahadi kutoka kwa viongozi wa mataifa hayo mawili.
CETA: Vijana jitokezeni kugombea
NA NASRA ABDALLAH, Dar Es Salaam
VIJANA nchini wametakiwa kujitokeza kuwania
nafasi za uongozi ikiwamo nafasi za juu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa
unaotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu.
Wito huo ulitolewa mwishoni mwa wiki jijini Dar
es Salaam na Katibu wa Chama cha Walimu wa somo la Uraia (CETA), Safari Minja,
katika warsha ya siku moja ya kuwajengea uwezo vijana kuhusu haki na wajibu wao
katika uchaguzi.
Minja, alisema vijana wengi wamekuwa wakiwaachia
watu wazima kugombea nafasi ya Uenyekiti na wao kubaki mashabiki, jambo ambalo
alidai wanapaswa kubadili tabia hiyo.
Pia, alionya kuhusu suala zima la upigaji kura,
kwani vijana wamekuwa wakishiriki katika kampeni kwa wingi lakini inapokuja
hatua ya kupiga kura wanaingia mitini na hivyo kujikuta wakijinyima haki yao ya
kuchagua au kuchaguliwa viongozi ambao sio hitaji lao.
Kuhusu umri wa vijana chini ya miaka 40, alisema
hata yeye haungi mkono na kufurahishwa kuondolewa kipengele hicho.
Mojawapo ya sababu alizozitaja, kuwa ni hatari
endapo sheria hiyo ingepitishwa, kwani kijana chini ya umri huo anakuwa bado
hajakomaa kimaono, kiakilii, kijamii na kifamilia.
Kwa upande wake, mmoja wa kijana aliyehudhuria
warsha hiyo, Nelson Kasena, alisema wameweza kupata uelewa wa mambo mbalimbali
ambayo walikuwa hawayajui kuhusu taratibu za uchaguzi.
Kasena, alisema kati ya jambo lililomvutia ni
uandikishaji kwa njia ya kielektroniki na kuongeza kuwa, bado elimu zaidi
inatakiwa kuhusu mfumo huo ambao bado ni mgeni hapa nchini.
Naye Mwakilishi kutoka shirika la Kijerumani la
Konrad Adenauer Stiftung, ambao ndio waliwezesha kufanyika kwa wa warsha hiyo,
Sefan Reith, alisema vijana hawana budi kupewa elimu ya uraia mara kwa mara,
kwa kuwa ndio viongozi wajao wa taifa hili.
Unhappy about being shorter than your brother? Blame your genes - Scientists unlock DNA secrets of family heights
HEALTH & SCIENCE
If you've ever wondered why the rest of your
family towers over you in height - it may be down to a rare genetic misfortune
which has left you with a miserable batch of 'short genes'.
Scientists at the the University of Exeter
conducted a study to find out what factors determine a person's height.
They discovered that one fifth of the genetic
factors that cause height to vary between siblings is that the smaller brothers
and sisters have 'simply inherited a big batch of short genes.'
The study also found while it was commonly
thought we are taller than our ancestors thanks to better diets, this factor is
only responsible for a fifth of the growth spurt.
Four fifths is down to genetics passed on from
one generation to the next.
The study is the largest of its kind in history
and also revealed that more than half of the factors involved in
determining height are explained by the simple common genetic variation - the
differences between and among different populations.
By examining the DNA from more than 250,000
Europeans, researchers from the international GIANT consortium checked more
than two million common genetic factors - those shared by at least five per
cent of participants.
From this they found 697 genetic variants in 424
regions of the genome, the genetic material of an organism, that are related to
height.
Before 2007 virtually nothing was known in this
area of research.
Professor Tim Frayling of Exeter's Medical
School said: 'It's common knowledge that people born to tall parents are more
likely to be tall themselves.
'Most of this is down to the variations in our
DNA sequence that we inherit from our parents - the different versions of all
our genes.
'In 2007 we published the first paper that identified
the first common height gene, and since then the research has come on leaps and
bounds.
'We have now identified nearly 700 genetic
variants that are involved in determining height.
'This goes a long way towards fulfilling a
scientific curiosity that could have real impact in the treatment of diseases
that can be influenced by height, such as osteoporosis, cancer or heart
disease.
'It also a step forward towards a test that may
reassure parents worried that their child is not growing as well as they'd
hoped - most of these children have probably simply inherited a big batch of
'short genes'.'
Dr Andrew Wood added: 'Our findings have helped
to identify a large proportion of the genetic architecture that contributes to
determining our height.
'We know that as a population we have become
taller over the last few generations, because of factors including improved
nutrition. But more than 80 per cent of the factors in height variation are
known to be down to genetics, with the rest caused by environmental factors.
'Thanks to advances in technology, we now have
access to far greater quantities of DNA data.
'These data sets are proving to be a genetic
treasure trove which has enabled us to shed light on height, and we expect to
continue to make significant advances, both in this field and in other human
traits.'
'Our results suggest that massive human genetic
studies, possibly into the millions, will continue to uncover all the subtle
effects of our genetic variation that influence our health, behaviour, body
shape and all aspects of what makes us who we are.'
TAARIFA: HALI YA MBUNGE KIWIA, SIO NZURI
NA RIZIKI KAZI
HALI ya Mbunge wa Ilemela, Highness
Kiwia (CHADEMA), imeelezwa kuwa mbaya kutokana na kushindwa kupumua kwa kutumia
pua na badala yake anatumia mdomo kitendo ambacho ni hatari.
Taarifa hiyo imetolewa jana na
Kiongozi wa Operesheni Kanda ya Ziwa Magharibi, Tungaraza Njugu, wakati Baraza
la Vijana CHADEMA (BAVICHA), wakitoa tamko juu ya Polisi kwa kushirikiana na
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuhatarisha amani ya nchi.
Kiwia, alisafirishwa kwenda
India usiku wa Septemba 28 mwaka huu, kwa ajili ya uchunguzi zaidi na matibabu
ya afya yake kutokana na matatizo ya mishipa ya kichwa.
Mbunge Kiwia, alikumbwa na
tatizo hilo baada ya kushambuliwa kwa mapanga na watu wanaosadikika kuwa ni
wafuasi wa CCM katika uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Kirumba jijini hapa.
Katika tukio hilo, Kiwia akiwa
na mwenzake Mbunge wa Ukerewe, Salvatori Machemli (CHADEMA), inadaiwa walitekwa
na kushambuliwa na wafuasi wa CCM Aprili Mosi 2012 usiku eneo la Ibanda
Kirumba.
“Kutokana na nafasi aliyonayo
ya ubunge, Serikali inagharamia jukumu hilo na kama chama, kimechangia kufanikisha
anapata matibabu na gharama za huko ni zaidi ya dola elfu nane ambazo
zitatumuika,” alisema.
Njugu, alisema vitendo
vinavyofanywa na CCM vimekuwa vikihatarisha usalama wa binadamu lakini mamlaka
husika imeshindwa kuchukua hatua, jambo ambalo ni ukiukwaji wa haki za
binadamu, hivyo wananchi wanapaswa kutambua chama hicho kimeshindwa kusimamia
na kuongoza nchi
ISHU YA CINDY KUPOTEZA WALLET…KUNA BEEF, AMA MASIHALA, AMA KISASI?
KAMPALA, Uganda
MNAMO October 4 Mwaka huu huu,
zilichapishwa Habari mbali mbali kuwa , Msanii kutoka kampala Uganda, amejikuta
akibugujikwa na Machozi baada ya kubaini kuwa Waleti yake iliyokuwa na Mkwanja
Mrefu, imepotea wakati akishusha Perfomance katika Club ya Ambiance huko Nchini
Uganda
Katika hali isiyo ya kawaida, Cindy
alionekana kuwashutumu watu wawili kupitia Ukurasa wake wa Facebook, ambao ni PRODUCER
KAYS na Baunsa wa Josee Chameleon, PJ
- · Kauli Ya Producer Kays
Baada ya hali hiyo Kutokea, Producer
Kays ambaye ni producer na Msanii kutoka Uganda, naye hakusita Kumtu[pia maneno
makali Cindy Sanyu , huku akimuita kuwa ni Mwanamke wa Bei rahisi sana hivyo
hawezi kulinganishwa naye.
Producer Kays ambaye ameshawahi
fanya kazi na wasanii mbali mbali Nchin Uganada akiwemo Jose Chameleone,
ameongeza Kuwa, Yeye ni Mfanya Biashara ambaye anaingiza mamilioni Mengi sana
Kila mara, hivyo Cindy anavyosema kuwa ameiba Kijimkoba ambacho kina Kiasi
kidogo cha Fedha, ni Uzalililsahji wa hali ya Juu hasa kwake Cindy Mwenyewe.
Ni maneno Mengi makali ambayo kays
ameyapost kunako ukurasa wake wa Facebook, hali ambayo imeonekana kuwashtua
Wengi sana.
- · Cindy Sanyu Anasema Hivi:
Baada tu ya Kutolewa kwa Malalamiko
hayo na Kays na hata Kumuita “Kishtobe” wa Bei rahisi Sana, Cindy alipost
yafuatayo, kama tunavyomnukuu, hasa akionekana kumtuhumu Producer huyo kuiba
Wallet Hiyo
"U kno what? I also think its Keiz the
producer but anyways I'm performing at club One Mukono tonight so I'm gonna
forget abt that and focus on this. There's always more money to make.....see
y'all. Holla"
Na Ili kudhirisha kuwa, bado
anahasira na Producer Kays, huku akiwa na Uchungu wa kupotelewa na Mkwanja
Wake, Asubuhi ya Sikukuu ya Eid, Cindy alipost hivi kama Tunavyomnukuu
. "Morning fam. Two kinds
of people I can't stand, a hypocrite and a thief. But today is a great day so
who cares, happy eid adhuha."
MASIKINI MARIAH CAREY!!!..HAWEZI KUIMBA VIZURI TENA
DAILY MAIL & BLACK TOUCHEZ , Tokyo
KUNA Uwezekano Mkubwa sana Mwanamama
ambaye sauti yake huwa na mvuto kupita maelezo, akawa anaelekea kupoteza Mvuto
katika Kuimba.
Weekend Hii Mariah carey amejikuta
akikosolewa Vikali kwa kile kinachodaiwa kushindwa kufanya Vizuri katika
ELUSIVE CHANTEUSE WORLD TOUR alipokuwa Nchini Tokyo.
Aidha kwa Mujibu wa Ushahidi wa
Video Clip ambazo zimeshaanza kusambaa kunako Mitandao mbali mbali ya Kijamii,
zinamuonesha Mariah Carey akiimba Chini ya Kiwango, huku baadhi ya Vitu
alivyokuwa akivifanya awali, vikishindikana kufanyika Tena.
Vitu hivyo ambavyo kwa namna moja
ama nyingine vilikuwa vikimshinda Mariah Carey, ni pamoja na kuimba huku akipiga
Kinanda, jambo ambalo wengi walishtushwa nalo Pia.
Tofauti na Hilo, Microphone Maalumu
iliyokuwa imeandaliwa kwa ajili yake, nayo ilionekana kumzingua hivi, jambo
ambalo wengi waliamini sasa bibi huyu, ameshindwa kabisa kucheza na Vifaa
malumu ambavyo anaomba viandaliwe kwa jili yake.
- · Mashabiki Wake Katika Mtandao Wa Twitter.
BAADHI ya Mashabiki wameonekana
kumuandama Mariah Carey, ambapo Shabiki ake anayefahamika kwa jina la ELLE,
yeye alisema kuwa anasikitishwa kugundua kuwa Mariah Carey hawezi kuimba Tena,
ukizingatia yeye ni mkongwe, na kama
inawezekana basi astaafu.
Shabiki mwingine anayetumia jina la HANDLE PEACHES & HERB
amesema kuwa, ni ngumu sana kumsikiliza akiwa anaimba, kwa sababu Mariah Carey
hawezi tena Kuimba, na ndio maana huwezi kumuona akipiga LIVE CONCERTS
Mariah Carey ambaye hivi sasa ana
Umri wa Miaka 44, yuko katika Mchakato wa talaka na Mumewe NICK CANNON, ambaye
ameshazaa naye watoto wawili, MORROCAN na MONROE. Na walifunga Ndoa Rasmi Mnamo
Mwaka 2008
KUMBE FRENCH MONTANA ALIMTELEKEZA MTOTO WAKE, KISA VISHTOBE.
NEW YORK, Marekani
SIKU HADI SIKU mapya yanazidi
kuibuka kuhusu French Montana, ikiwa ni baada ya Kupigana Chini na KHLOE
KARDASHIAN
Sasa, this Ttime, TTM tumepata
Mtonyo kuwa, Kumbe Rapper na Producer Huyu, French Montana, aliwahi kupiga
kimya na hata kutomtembelea Mtoto wake kwa Muda wa Miezi mine Mfululizo, kisa
mademu wawili, yaani TRINA na KHLOE KARDASHIAN
Akizungumza kwa Uchungu , Ex Wife wa
French Montana, NADEEN KARPOUCH, amedai kuwa, French alifanya hivyo kwa sababu
muda mwingi sana alikuwa Bize na Magirlfriendsn wake, ambao aliwathamini kuliko
hata Damu yake.
Katika utata mwingine, inasemekana
kuwa, Montana ambaye ni Mkali wa FREAKS, baadhi ya Marafiki wa Karibu wa
Nadeen, wamedai kuwa, Katika Mwaka huu, inawezekana French Montana amemuona motto
wake huyo wa Miaka 4, mara NNE TU, ndani ya Mwaka huu 2014.
Aidha Mama wa Mtoto amezidi
kusistiza kuwa, Frenc hakuwahi hata kusumbuka kumpeleka Mtoto katika Shule ya
Awali, zaidi ya kuona umuhimu wa kula bata na akina KHLOE KARDASHIAN.
Pia amesisistiza kuwa, French
alidhihirisha asivyomjali motto wake, baada ya kuunua vitu vingi vya gharama
kama vile Gari aina ya JEEP na Vito vya Thamani kwa KLOE, huku mwanae akikosa
mahitaji maalum na yenye thamani kama hayo.
REPORT: KUHUSU TUHUMA ZINAZOMKABILI AKON, KUKWEPA EBOLA..
WEEKEND
HII,MKALI wa R&B ulimwenguni, AKON , ametuhumiwa kuperform akiwa ndani ya
Puto kubwa, kukwepa Ugonjwa wa Ebola, TTM tuna Mtonyo kamili kama Ifuatavyo.
·
Ilivyokuwa:
Siku kadhaa zilizopita, Akon alikuwa
Nchini Kongo kwa ajili ya tamasha maalum la wazi, lililofanyika katika Mji wa
GOMA, ambapo aliingia ndani ya Puto hilo la Plastic ikisadikika kuwa alikuwa
akijikinga na Ugonjwa wa Ebola, ambao umeshaua watu 32 katika Nchi hiyo.
Dhumuni kubwa la tamasha hilo la
wazi, ilikuwa ni kutangaza Kampeni ya Umoja wa Mataifa (UN) hasa katika Siku ya
Amani inayosherekewa Kimataifa (INTERNATIONAL PEACE DAY).
Tamasha hilo liliweza kuhudhuriwa na
watu zaidi ya 60,000 katika Mji huo, na AKON aliamua kujitosa katika Puto hilo,
ambalo inasemekana kuwa lilikuwa halipitishi hewa.
Baada ya kuingia kunako Puto hilo,
Akon alijirusha kwa mashabiki ambao walikuwa wakimbeba juu juu lakini akiwa
ndani ya Puto hilo.
·
Akon
Alichokisema:
Kwa upande wake Akon ambaye
amekumbana na Tuhuma hizo, amedai kuwa, sio kweli kwamba aliingia ndani ya Puto
hilo ili kujikinga Na Ugonjwa huo unaozidi kutafuna maisha ya Waafrika, bali
huwa ni namna ambavyo anaperform katika Show zake, tangia hata Story za Ebola
hazijaanza kushika kasi.
Aidha Akon amevilalamikia vyombo vya
habari hasa kwa kulikuza suala hilo na kuonekana kuwa alikuwa anajaribu kukwepa
Gonjwa hilo hatari
·
Kihistoria
Katika Hili
Aidha inasemekana kuwa Akon
ameshafanya Tukio kama hilo hilo, huko DUBAI na AUSTRALIA
Subscribe to:
Posts (Atom)