REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

• LIST VINYANG’ANYIRO KATIKA BET AWARDS-2014 IKO NJE, JAY Z BEYONCE NA DRAKE HAWAKAMATIKI..DIAMOND NA DAVIDO KUCHUANA TENA

7:05:00 AM

HISTORIA imetengenezwa Nchini Tanzania Kwa mara ya Kwanza kabisa, kuingiza Msanii katika Tuzo maarufu ulimwenguni za BET, ambazo hufanyika Nchini marekani, Check This Out maze..

Diamond Platnumz amezidi kuipa Heshima Bendera ya Nchi ya Tanzania, Baada ya Kuchaguliwa kushiriki katika kinyang’anyiro cha BET kwa Mwaka Huu wa 2014, huku akionekana kukutana na Swahiba wake DAVIDO Kutoka Nchini Nigeria katika Kipengere cha INTERNATIONAL ACT-AFRICA.

Tofauti na Davido , Platnumz Pia atachuana Vikali na Kundi La Mafiki Zoro Kutoka Nchini South Africa, Tiwa Savage Kutoka Nigeria, Sarkodie  kutoka Ghana na Toofan kutoka Togo.

Kama Utakuwa umefuatilia Kwa Ukaribu, DIAMOND na DAVIDO wamefanya Kazi pamoja ambayo ni My Number One (Remix), lakini Pia Wako katika Kinyang’anyiro kimoja katika Tuzo za MTVAFRICA MUSIC AWARDS (MAMA). Tofauti na hayo, Pia na Davido na mafiki zolo hivi sasa wanafanya Poa na Kwaju la TCHELETE, huku wote wakiwa katika Tuzo za hizo za MAMA

Kwa Upande Mwingine, JAY Z na BEYONCE wanaonekana Kuongoza katika Categories za BET, huku wasanii kama Vile Drake, Chris Brown, Pharrell Williams wakifuatia kwa Kuteuliwa Kushiriki Categories Tofauti.

YO PLATNUMS..WAKUACHE ULALE

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER