REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

UPDATE: MSALA WA MICHAEL JACKSON: KUMBE ALIMUACHISHA SHULE MTU ANAYEMTUHUMU….YAANI JAMES SAFECHUCK

7:11:00 AM

NEW YORK, Marekani
WACHA MAMBO IENDELEE ndio Msemo ambao anautumia Mwanasheria wa Kijana ambaye aanadai kulawitiwa na marehemu Michael Jackson Enzi za Utoto..sasa Nisikilizeni Kwa umakini.

Kitengo chimbua Chimbua kimezidi kufuatilia Kwa unmakini kabisa Mfululuizo wa Tuhuma ambayo inamuandama aliyekuwa Mfalme wa POP, marehemu Michael Jackson Maarufu kama WACKO JACKO, na 

Hivi leo, tumelipata Jipya jingine kutoka kwa Mchakato Huo.
Mwanasheria wa JAMES SAFECHUCK anayefahamika kwa Jina la MARYAN MARZANO, Michael alijitahidi Kuwa karibu na JAMES ili kuficha maovu aliyokuwa akimfanyia, kuanzia akiwa na Umri wa Miaka 10.

Aidha MARYANN amezidi kumiminika kuwa, Michael alikuwa akimzuia JAMES wakati yuko Mdogo , Kwenda Shule, ili aongozane naye katika safari zake mbali mbali, na kumfania Uchafu ambao alikuwa akiufanya kwa motto huyo.

Aidha Mwanasheria huyo amezidi kuishambulia familia ya Michael na kudai kuwa, kuna Uwezekano Walifahamu kila kilichokuwa kikiendelea, maana Wacko alikuwa ni Mtu aliyekuwa karibu sana na Watoto huku kesi za Ulawiti zikimuandama kabla umauti haujamkumba.


Kesi hiyo inatazamiwa kuamsha masuala mengine mbali mbali hasa kwa Sifa ya Michael Jackson pamoja na Familia yake, endapo atabainika kuwa na hatia ya Kumlawiti Kijana huyo tangia akiwa na Umri wa Miaka 10 mpaka 15.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER