HUYU ni mrembo aliyekuwa amepata mwaliko toka kwa jamaa mmoja ambaye walijuana
katika birthdaya ya rafiki yake.....
Inadaiwa kuwa Binti huyu anasifika
kwa kuwachuna wanaume wanaoingia
katika anga zake
na kuwatelekeza.Bahati mbaya msimu
huu haukuwa wake baada
ya kuwekea madawa
ya kulevya katika
kinywaji chake na hatimaye kumnonihino......
Binti hakuweza kuusoma
mchezo maana tayari pombe ilikuwa imeshaanza upanda
kichwani....Baada ya muda, mrembo
alikuwa hoi bin
taabani na ndipo wavulana hao walipombeba na kumbaka
na kisha kumwacha
EmoticonEmoticon