WELCOME TO ..... (KARIBU KATIKA..)
REPIN ROCK CITY
INASIKITISHA : WATU WATANO WAFARIKI DUNIA, NA 130 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA LORI JIJINI MBEYA
Majeruhi wakipatiwa Huduma ya Kwanza baada ya Ajali
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mheshimiwa Abbas Kandopro akiwafariji Majeruhi wa Ajali Hiyo
Mheshimiwa Kandoro akichukua Maelezo kutoka kwa Mmoja wa Majeruhi
Majeruhi wakipatiwa Huduma ya Kwanza
Mheshimiwa kandoro akizungumza na Waandishi wa habari
Damu zilivyotapakaa katika Eneo la Ajali
Lori lilikuwa limewabeba Majeruhi na Marehemu katika Ajali hiyo mapema hii leo
Eneo la Ajali
Majeruhi wakiwa katika maumivu ya Ajali hiyo
WATU
watano wamepoteza maisha na wengine 130 wamejuruhiwa vibaya huku
hali zao zikiwa mbaya baada ya Lori walilokuwa wakisafiria shambani
kuacha njia na kupinduka katika kijiji cha Mapogolo kata ya
Itamboleo Wilayani Mbarali Mkoani hapa.
Ajali hiyo imetokea leo saa 1:30 asubuhi ambapo
lori hilo ambalo ni mali ya Mwekezaji
wa shamba la Kapunga Rice
Project, na kwamba watu hao walikuwa wakielekea kwenye shamba la
mwekezaji huyo lililkuwa limebeba vibarua hao zaidi ya 200 ambao ni
wakazi kitongoji cha Kapunga.
Lori
hilo lenye namba za uasjili T398 BSE Scania Tipa, ambalo lilikuwa
likiendeshwa
na dereva aliyejulikana kwa jina Baraka Moreli,
lilionekana likiwa katika mwendo kasi na dereva huyo
akiwa na lengo la kutaka kuipita pikipiki iliyokuwa mbele yake.
huku akishangiliwa na vibarua hao ipite ipite hiyo pikipiki haiwezi
kutushinda sisi gari kubwa moja ya majeruhi alisema. ndipo walipofika
kwenye kona dereva lilimshinda gari hilo na kupinduka
Akiwa Hospitalini hapo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,
Abbas Kandoro ambaye aliweza kufika hospitalini hapo alisema kuwa
mara baada ya kupata taarifa ya ajali hiyo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya
ya ,Mbarali Gullam Hussein Kiffuu, huku akiombwa kupatiwa msaada wa
kuongezewa madaktari, kuongezewa vifaa vya mataibu sambamba na
uwezekano wa kupata damu kwa ajili ya kuwaongezea majeruhi hao
alifanikiwa kuwasiliana na uongozi wa hospitali ya Rufaa ya Mbeya,
hospitali ya Mkoa ili kuweza kuona namna ya kwenda kuokoa maisha
watanzania hao.
Kandoro, alisema kuwa katika ajali hiyo
wanaume wanne wamefariki na mwanamke mmoja. watatu wametambuliwa
Samweli Mapugilo mbena 30 mkazi wa Ilembula
Bon Mfupa 27 mkazi wa mapogolo na Edgar
Mwakipesile 35 mkazi wa Nonde Mbeya
Aidha,
Kandoro alisema kuwa idadi ya majeruhi katika ajali hiyo kuwa
ni 130 ambapo wanawake ni 40 na wanaume 89 huku idadi ya watoto
waliokuwa wameongozana na wazazi wao haikuweza kufahamika kwa haraka.
NA MBEYA YETU.
PICHA : POLENI SANA
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimfariji Abiria
Juma Ali Jaku wa Jahazi ya Sun Rise iliyopata ajali na kuzama
kati ya Tanga na Mkokotoni ikiwa imebeba Abiria 32 kati ya hao 21
wameokolewa na saba hadi sasa hawajapatikana. Kushoto ya Balozi
Seif ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini
Unguja Mh. Pemba Juma Khamis.
Nahodha
wa Jahazi ya Sun Rise iliyozama kati ya Tanga na Mkokotoni Bwana
Abdulla Saleh akimuelezea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi
Seif Ali Iddi mkasa uliowapata wa kuzama baada ya chombo chao kupatwa
na dhoruba kali.
PICHA KWA HISANI YA MOHAMMED DEWJI
POWER JAMS..LIKE OUR PAGE..AND GET THE CHANCE TO ENJOY THE FRIDAY WITH US LIVE ...
Shabiki wa Power Jams ya East Africa Radio Lilian Joseph (Kushoto) na Msanii Peter Msechu wakiwa katika Friday Freestyle ya kipindi hicho
The Hot Female Presenter in Bongo, Anner Peter (Katikati), anayeungurumisha Package za Power Jam na Sam Misago, wakiwa Katika Poz na Mashabiki wa Show yao Leo
Mashabiki wa Power Jams wakiwa na Wasnii wa Bongo Flava katika Pouz
Anner Peter akiwa na Wasanii wa Bongo Flava (KUTOKA KULIA) Queen Darleen, Petyer Msechu, Diamond Platnumz na Mwasiti
Mwasiti na Barnaba
Yusuph Salum na Lilian Joseph katika Pouz
KUTOKA KUSHOTO- Queen Darleen, Peter Msechu, Mwasiti Almas na Diamond Platnum
PICHA ZOTE NA BARNABA (EAST AFRCA RADIO)
VODACOM WAMEFANYA YAO KAMA KAWAIDA
Mwakilishi
miongoni mwa wa wafanyakazi wa idara ya uwezeshaji huduma ya mtandao
wa Vodacom Tanzania, Precious Huggins , akizungumza kwa niaba ya
wenzake wakati wa hafla ya kukabidhi michango yao ya vifaa mbalimbali
kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom, vikiwemo vyandarua , vifaa vya
ujenzi, vyakula na vinginevyo vyote vikiwa na thamani ya takribani sh
milioni 4 kwenye kituo cha kulea watoto wanaoishi katika mazingira
magumu cha Mwandaliwa kilichopo Bunju nje kidogo
ya jiji la Dar es Salaam
Subscribe to:
Posts (Atom)