WELCOME TO ..... (KARIBU KATIKA..)
REPIN ROCK CITY
MZIGO MATATAH!.......MWENYEWE KARIDHIKA NA ANAFURAHIA...UTAMWAMBIA NINI?
Nani Kasema anahips kuliko huyu Mama?
MIKEL LUFFINELL (30) raia wa Uingereza, Mama mwenye Mzigo matata wa Hips za asili na Sio MCHINA
Huwa inamuwia vigumu sana kupta katika Milango ya Nyumba, ambapo humbidi apite Iupand upande ili aweze kuelekea mahali anakopataka.
Kama haitoshi, ukimpatia nafasi moja tu ya kukaa (Seat) katika Ndege, basi umempa mateso sana. Humlazimu kuchukua Seat mbili katika Ndege pindi anapokuwa kati safari zake kadhaa kwa Kutumia Usafiri huo.
Bi. Mkubwa huyu anausafiri wake binafsi, namaanisha Gari , na humlazimu kutumia nafasi kubwa sana ili aweze kuhimili kila shughuli yake
Ila, binafsi yeye anaufurahia unene wake !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
NDUGU WATANZANIA, HUYU NI MTANZANIA MWENZETU
Mtoto Hanifa Salum Hassan mwenye umri wa miaka mitano
anasumbuliwa na ugonjwa wa Saratani ya Damu (Leukemia) ambao umemfanya ashindwe
kusimama na kutembea, anasumbuliwa na maumivu ya kichwa wakati wote, wakati
mwingine
hushindwa kupumua hivyo kulazimika kupumua kwa kutumia
mashine pia hawezi kula analishwa kwa kutumia mirija na pia kila baada ya muda
inabidi abadilishiwe damu.
MATIBABU
- Matibabu ya mtoto Hanifa ni ya gharama kubwa sana. Ugonjwa wake haukujulikana alipopelekwa Hospitali ya taifa Muhimbili lakini alipopelekwa nchini India gharama za uchunguzi pekee zilikuwa dola 7,600 ambapo mtoto Hanifa aligundulika kuwa na ugonjwa wa Acute lymphoblastic Leukemia. Matibabu yake yalipangwa yawe kwa awamu tatu ambapo awamu ya kwanza ya matibabu iligharimu dola 10,000. Mwisho wa awamu ya kwanza zilihitajika dola 10,000 zingine ili aingie kwenye awamu ya pili ya matibabu lakini uwezo wa ndugu na jamaa ulikuwa ndio umeishia hapo hivyo matibabu ya mtoto Hanifa yalilazimika kukatishwa na Hanifa kurudishwa Tanzania. Ripoti za madaktari India zilipelekwa Muhimbili ambapo matibabu ya mtoto Hanifa yalipangwa kugharimu Tsh. milioni 2 kwa mwezi. Hakuna pesa za kumwezesha mtoto kuanza matibabu Muhimbili hivyo mtoto Hanifa amebaki nyumbani jijini Dar es Salaam akiwa kwenye hatari kubwa ya maambukizi mbalimbali ambayo yanaweza kuhatarisha maisha yake.
Hadi sasa ndugu na
jamaa wanahaha kutafuta pesa za kumwezesha mtoto Hanifa kumalizia awamu mbili
za matibabu yake nchini India kama ikiwezekana au ikishindikana basi aweze
kuanza matibabu Muhimbili.
- MICHANGO
- Kwa walio Tanzania
Jokha Khamis Issa
Akaunti Namba:
041212000428
People Bank of
Zanzibar
Kwa mawasiliano namba ya simu ni: +255 777 462587Kwa walio
nje ya Tanzania wanaweza kutuma michango yao kwa akaunti hii
Suleiman Maadini
Account Number: 15092968
Sort Code: 30-67-99
Bank: Lloyds TSB
Country: United Kingdom
Kwa mawasiliano na Bwana Maadini: +44 78 18674305
EXCLUSIVE : UPEPO WAHARIBU KIJIJI CHA NTENDO
Mazao yalioathiriwa katika Shamba
Sehemu nyingine ya mazao hayo yaliyoharibiwa na Upepo huo
Baadhi ya Wanakijiji wakishangaa na kusikitishwa na Upepo huo ambao umeharibu makazi yao
Moja ya Nyumba ambayo imeathiriwa na Upepo huo
Wanakijiji wakikagua Mazao yao yaliuoharibiwa na Upepo wa Kapululu
Wakazi wa Kijiji hicho wakiwa Nje ya mopja ya Nyumba iliyoathiriwa
Baadhi ya Mitit ikiwa imeng'olewa na Upepo huo katika Kijiji cha Ntendo
Nyumba ikiwa imeharibika
Sehemu nyingine ya Mazao yaliyoharibiwa
Wakazi wakiwa katika eneo la Tukio
NA SIMON MANYIKA. RUKWA.
Wakazi wa Kijiji cha Ntendo katika wilaya ya SONGEA, Mkoani Rukwa, wameharibiwa Makazi yao na Mazao yao baada ya kutokea Upepo unaofahamika kwa jina la kamshuluku au Kapululu hapo juzi, usiku wa kuamkia Jana.
Upepo huo ambao kiujumla huwa sio mkubwa sana, umefanya madhara tofauti ikiwemo kuharibu nyumba za Wanakijiji na Baadhi ya Mazao ambayo yalikuwa yamepandwa Shambani, kama inavyoonekana katika Picha
Subscribe to:
Posts (Atom)