KUPITIA Mtandao wa Twitter, Kuna picha ambayo
imekuwa ikisambazwa na watu mbali mbali wakidai kuwa zinamuonesha Tyga
akishiriki Tendo la Ndoa na Mwanaume Mwenzake.
Ingawa Ulimwengu wa Burudani na Mashabiki wa
Tyga walipata Mshtuko na kuanza kujiuliza nini Kinachoendelea, Tyga alionekana
kama ni mtu ambaye hakuwa na Mshtuko sana, badala yake alipost kuwa “Shetani
Mwingine ameanza kazi”
Lakini baada ya muda kadhaa, ushahidi Mwingine
ulitoka ukithibitisha kabisa kuwa, Kijana aliyeonekana katika picha hiyo, sio
Tyga, na wala hana uhusiano na tyga, bali ni watu ambao wanaelekea kufanana.
Aidha, Fan Huyo wa Tyga, alipost Picha halisi
ya Kijana ambaye alionekana katika Picha hiyo, na kuwafanya wengine wapumue na
kuamini kuwa Ni Kweli sio Tyga
MAKAMU WA RAIS NCHINI KENYA- WILLIAM RUTTO
akicheza Style ya "Mateke" katika Jukwaa na Msanii jaguar pamoja na
Size 8.
Jaguar alizindua Foundation(Taasisi ) yake inayoitwa JAGUAR YOUTH EMPOWERMENT
FOUNDATION maalum kwa ajili ya Vijana. TIZAMA PICHA NYINGINE
CITIZEN TV. UNAWEZA Ukadhani labda Mnyoo huyu anaweza
kuleta Pesa kupitia Njia Fulani hasa za Kishirikina, lakini Ni Tofauti Kabisa.
Nchini Kenya, Mnyoo hatari anayetambulika kwa
Jina la GUINEA WORM, anasakwa Vibaya sana na Wataalamu wa Afya Nchini humo kwa
ajili ya Kumuangamiza hara iwezekanavyo.
Kwa Mujibu wa CITIZEN TV, Wizara ya Afya
nchini Kenya imekuwa katika harakati za kumsaka na kumwangamiza Mnyoo huyo,
lakini kumekuwa na udanganyifu wa Hali ya Juu.
Dr. Sammy Mahugu-Afisa Uhamasishi (MOH)
amefafanua kuwa, hivi sasa wameanzisha kampeni ya “Pata Pesa na Guinea Worm”
ambayo itadumu kwa Miezi Mitatu.
Endapo utafanikisha kumpata Mtu ambaye ana
Mnyoo huyo, basi utaweza kujishindia Ksh 100,000 kwa Wewe Mkazi wa Kenya.
Dr. Mahugu ameongeza kuwa, Mnyoo huyo ni Mrefu
sana, na huwa anaingia katika Sehemu mbali mbali za Mwili kama vile Mguuni,
Kichwani, Tumboni na hata Mkononi.
Kwa Urefu alionao Mnyoo huyo, na ili kumtoa
Mzima mzima bila kubaki Mwilini, inaweza kugharimu Muda wa Wiki Nzima, huku
maumivu yakiwa makali sana.
JOHN KAZUNGU ana historia ambayo hatoweza
kuisahau katika maisha yake, ikiwa ni baada ya kujikuta akikutwa na Hisia za
tendo la Ngono Bila kupungua, kwa Siku 14.
Sababu ambayo ilimfanya hata Uume wake usimame
muda Wote, ni baada ya Kufanya mapenzi na Mke wa Mtu.