REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

SANDAL WOOD : Urembo Asilia na Wenye Mvuto uko Hapa

8:13:00 AM Add Comment
 Mjasiliamali na Mzalishaji wa Bidhaa Za SANDAL WOOD akinikaribisha kwa tabasamu Katika Banda lake La Maonesho ya Bidhaa zake, katika Maonesho ya Wanawake wajasiliamali Nchini, yanayofayika Jijini Dar es Salaam

Bidhaa Mbal mbali zinazotokana na Mmea (Mti) wa Sandal (Sandal Wood) zikiwa katika Makundi tofauti, Lotion, Mafuta ya Nywele, Sabuni, kwa ajili ya akina Mama na akina Baba, na Hata Watoto
 
 Lotion ya Sandal Wood ikiwa katika Package Salama kwa ajili ya Afya Yako

Mafuta Ya Nywele ambayo yanazalishwa na Mmea asilia wa Sandal (Sandal Wood)

 Mzalishaji Wa Sandal Woods akitoa ufafanuzi juu ya Bidhaa hiyo inayboresha Urembo na Utanashati Wa Asili
 Sabuni Za Sandal woods ambazo ni Nzuri kwa Ngozi yako Asilia. Haichubui Ngozi, wala haikufanyi kuwa Mweupe kama Wanaotumia Mikorogo. Pia ina Ulinzi wa Kutosha katika Ngozi yako.

Ni Safi na Salama Kwa Jili ya Afya Yako kama unavyiona Package yake ilivyo salama
 

 Wateja Wakipatiwa Ufafanuzi kwa Ukarimu kabisa.
Wasiliana Nao Kupitia anuani Hizo kwa maelezo zaidi

WALEMAVU NCHINI TANZANIA, IGENI MFANO HUU.

7:27:00 AM Add Comment
Afisa Utawala wa Malawi Council For The Handicapped, Mrs. Clara Fatch kutoka Nchini Malawi, akinionesha Bidhaa zinazozalishwa na Watu Wenye Ulemavu Nchini Malawi, katika Maonesho ya Wanawake Wajasiriamali Yanayaofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es Salaam Tanzania

Bidhaa Hizo ambazo zinazalishwa na Walemavu kutoka Nchini Malawi, katika Shirika la Malawi Council For The Handicapped, zikiwa zinapendeza. 

 Magauni, Madela, Na Tshirt pamoja na Vitambaa vya Kupamba Majumbani na Maofisini

 Mrs. Fatch akionesha Mkoba Ulioandikwa "ALAWI AFRICA", uliotengenezwa na walemavu


 Wateja wakipokea Maelezo Kutoka kwa Wakina mama kutoka Malawi, juu ya Bidhaa bora zinazozalishwa na Walemavu.


 Mapambo Mazuri yakiwa Katika Maonesho

Mrs. Fatch akinifafanulia Jambo kuhusiana na Bidhaa Zote zilizotengenezwa na Walemavu, kutoka katika Shirika Hilo.

Na Frank M. Joachim, DSM
Walemavu Nchini Tanzania Bado wana fursa Madhubuti ya kufanya Makubwa katika kujitafutia Kipato chao ili kuboresha Maisha yao ya Kila siku ikiwa Ni Sehemu kubwa ya Maendeleo ya Binafsi, jamii inayowazunguka, na Taifa Kiujumla.

Hayo Yameainishwa Mapema leo hii, baada ya Kufanya Mazungumzo na Afisa Utawala wa Shirika la MALAWI COUNCIL FOR THE HANDICAPPED liliko Nchini Malawi, Bi. Clara Fatch (Pichani), katika maonesho ya wanawake wajasiriamali yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Shirika hilo ambalo Makao yake Makuu ni Nchini Malawi, Linajishughulisha na Kusaidia walemavu wenye Uwezo na Kipaji binafsi katika kuzalisha Bidhaa Mbali mbali kwa Matumizi mbalimbali.

Aidha Bidhaa zote zilizooneshwa katika Picha hapo juu ni nguvu kubwa ya Walemavu, hali amabyo inatoa hamasa na fursa kwa Walemavu wa Kitanzania kutokukaa na kuamini kuwa Ulemavu wao ndio Mwisho wa Maisha yao.

"Disability is not inability"

MNADA BANNER