LAITI Kama
MICHAEL JACKSON angekuwa hai mpaka hivi sasa, angekuwa anaenjoy na
kupata Mzuka wa kurudisha heshima yake katika Music Industry …Iko hivi.
Tukiwa Ndani ya Wiki ya Kukumbuka Siku ya kifo
chake, Finally TTM tumenyaka Info kuwa, The Late Michael jackson ameuza takriban Records 8 za muziki wake Huko
Nchini Uingereza.
Aidha hali hiyo inadhihirisha kabisa kuwa,
Michael Jackson ambaye alifariki JUNI 25, 2009, nazidi kuwa Msanii Bora wa Pop
ambaye anauza sana Muziki wake Muda Wote.
Pia Mchanganuo unaonesha Kuwa, Michael Jackson
ameuza takriban Nakala Million 3.8 za Albam zake huko huko Uingereza, huku
Mashabiki wake wengine wamekuwa wakidownload Nyimbo zake zaidi ya Mara Milion 4
katika mitandao mbali mbali ya Kijamii
Albam Mbili za Michal zilizoachiwa baada ya Kifo
Chake, mnamo mwaka 2010 zilizoitwa “MICHAEL” zilifika mpaka kunako Nafasi ya
Nne katika Chati kali ya Muziki Nchini humo, huku Albam Mpya kabisa ya XSCAPE
ikishilka nafasi ya Kwanza katika ALBAM 10 Bora Nchini uingereza
Tofauti na Hilo, Kwaju la MAN IN THE MIRROR,
limetajwa kuwa ni kwaju Bora zaidi lililouzika Baada ya Kifo cha Wack Jacko,
kwasababu imepata almost Downloads zaidi ya 413,000
NYIMBO
KALI ZA MICHAEL JACKSON AMBAZO ZIMEPATA DOWNLAODS NYINGI NI KAMA IFUATAVYO
1.
MAN IN THE MIRROR – 1988
2.
THRILLER-1982
3.
BILLIE JEAN – 1983
4.
SMOOTH CRIMINAL- 1988
5.
BEAT IT -1983
6.
HOLD MY HAND (Feat AKON – 2010
7.
LOVE NEVER FELT SO GOOD (feat JUSTIN
TIMBERLAKE) -2014
8.
DIRTY DIANA- 1988
9.
THE WAY YOU MAKE ME FEEL – 1987
10.
BLACK OR WHITE – 1991