WELCOME TO ..... (KARIBU KATIKA..)
REPIN ROCK CITY
An apple a day could keep obesity away: Granny Smiths promote friendly bacteria helping us feel fuller for longer.
HEALTH, Black Touchez Blog
An apple a day keeps the doctor away, goes the
saying.
But a new study has found more specifically,
that a Granny Smith a day could be the key to preventing obesity.
The bright green, crisp variety helps people
feel full, inhibiting the urge to eat.
They were found to promote friendly bacteria,
which invokes the feeling of being full.
The study, published in the journal Food
Chemistry, revealed that the non digestible compounds in the fruit, which
include fibre and polyphenols, do not get broken down by stomach acid.
When they reach the colon they are fermented by
bacteria in the colon which helps friendly bacteria in the gut to grow.
Scientists at Washington State University tested
several different varieties of apple on mice, to see which caused the most
growth of friendly bacteria.
Granny Smiths worked better than Golden
Delicious, Gala, Braeburn and other popular varieties, they discovered.
The variety, known for its slightly tart
flavour, had a particularly high fibre content and compounds like polyphenols
which do not break down when eaten, they reported.
The team analysed mouse droppings after feeding
the animals, some of which were obese, different types of fruit.
They discovered the balance of bacteria in the
colon of obese people is often 'disturbed' in a way that can disrupt the
metabolism and make people feel hungry.
It was revealed that the faeces of overweight
mice that had eaten Granny Smith apples had changed and become similar to that
of slim mice.
The discovery could lead to future treatments
for weight problems.
Professor Giuliana Noratto, from Washington
State University said: 'We know that, in general, apples are a good source of
these non digestible compounds but there are differences in varieties.
'Results from this study will help consumers to
discriminate between apple varieties that can aid in the fight against obesity.
'The non digestible compounds in the Granny
Smith apples actually changed the proportions of fecal bacteria from obese mice
to be similar to that of lean mice.'
The discovery could help cut disorders linked to
obesity, including low grade inflammation.
'What determines the balance of bacteria in our
colon is the food we consume,' said Professor Noratto.
AKAUNTI FEKI ZINAZIDI KUWATAFUNA WASANII WA BONGO INSTAGRAM
INSTACOP, @instacoptz
MNAMO mwezi uliopita TTM tulikupa
Mtonyo kuwa, Kuna Mtu kunako Mtandao wa INSTAGRAM anatumia Jina la WEMA SEPETU
kuweza kufanya Utapeli wa hali ya Juu…
Sasa This Time Yule Presdaa wa wa
Masharobaro, BOB JUNIOR, amekutana na Noma Hilo hilo, ambapo kuna Tapeli
anatumia Jina lake katika Mtandao huo wa Instagram , kufanya Utapeli wa Nje Nje.
Rafiki wa Karibu wa Bob Junior,
KITALE, ndiye ambaye amebombulua noma hilo, baada ya kutoa Info kuwa, tapeli
huyo anajiita SHAROBARO BOB JUNIOR (@sharobarobojunior) akitumia uhalisia wa
BOB JUNIOR TZ (@bobjuniortz).
Kitale ameongeza Kuwa, mtu huyo hivi
sasa anafollowers wengi sana, na mara Nyingi amekuwa akitumia Picha na kila
kitu anachokifanya Bob Junior, ili kuwafanya Bandugu waamini kuwa Ni Yeye.
Aidha jambo ambalo limemshtua sana
KITALE, ni baada ya Bob Junior Feki kumtumia Meseji katika INSTAMESSAGE, na
kumwambia amtumie 70,000 sababu amekwama, na yuko Kahama katika Show.
Tofauti na hilo, Bob Junior Feki
amekuwa akiwatukana Mashabiki wa Bob junior hasa pale wanapocomment jambo
fulani
ASAP ROCKY..NA JANGA LA LUMPIGA SHABIKI WAKE WA KIKE
INAWEZEKANA kabisa Asap Rocky ambaye
ni Mkali wa PROBLEMS, akatema USD 75,000 endapo atabainika kuwa alimpiga
Mwanamke mmoja amabaye ni Shabiki wake, mnamo Mwaka 2013.
TTM tumepata Mtonyo kuwa, JULY 13 kunako
tamasha la MADE IN AMERICA, lililofanyika Kule Philadephia, Asap Rocky
alionekana akimchapa Kofi kali Mwanamke huyo, hali ambayo ilimfanya afungue
Mashtaka (Yaani Huyo Mwanamke)
Licha ya kukana vikali kumpiga
Shabikia yake, Muathirika ambaye anatambulika kwa jina la LISAMARIE WADE,
hakushindwa wala kukata tama kufungua Mashtaka Dhidi ya ASAP ROCKY, huku madai
makubwa ikiwa ni kumsababishia maumivu, pamoja na kukiuka haki za Raia wa Nchi
ya marekani, kwa Kumjeruhi ama Kumdhuru pasipo Kosa lolote, na tena HADHARANI
Pi a Wade ameongeza kuwa, Asap Rocky
hakumpiga Kofi tu, bali alimsukuma kwa Nguvu na kuanguka Chini hasa alipokuwa
akitafuta Njia ya kuwafuata mashabiki
Wade kwa hasira na machungu,
ameongeza kuwa, hiyo huwa ni tabia ya ASAP, ukizingatia kuwa aliwahi
FRENCH MONTANA NA SUALA LA TALAKA…NATAKIWA KULIPA KIASI HIKI CHA MKWANJA
BAADA ya
Kutemana na Khloe Kardashian, French Montana amekamilisha suala jingine
lilikowa likimkabili kwa Muda Mrefu sasa, yaani Talaka.
French
Montana alikuwa katika Mchakato wa Talaka na Mkewe NADEEN KHARBOUCH ambaye
wamefanikiwa kupata mtoto mmoja
Mnamo
mwaka 2007 , French Montana alifunga Ndoa na Nadeen, na mpaka kufikia mwaka
2012, wawili hao walishindwa kuendelea na safari yao ya Ndoa, na badala yake
mchakato wa Talaka Ukaanza
SASA, kwa
Mujibu wa info ambazo tayari TTM tumeshakutana nazo, ni kwamba Talaka
imeshakamilika tayari kwa wawili hao, na mpaka hivi sasa French Montana maarufu
kama COKE BOY anatakiwa kutema Mkwanja unaogonga thamani ya USD MILIONI 2
NADEEN
ambaye officially tunamtambua kama EX WIFEY wa French Montana, anatarajiwa
kukaa na Mtoto huyo kwa malezi zaidi, na Siku ya juzi, Montana alipata nafasi
ya kumtembelea Mtoto wao.
MAHAKAMA YAAMURUU IPTL ISIBUGUDHIWE
DAR ES SALAAM, Tanzania
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imeiamuru Benki ya
Standard Chartered ya Hong Kong (SCBHK) na Shirika la Usambazaji Umeme
Tanzania (Tanesco) kuacha kuingilia utulivu, umiliki, usimamizi na utawala wa
mitambo ya ufuaji umeme ya Harbinder Singh Sethi iliyopo Tegeta, na kusubiri
uamuzi wa mwisho wa kesi ya msingi.
Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited
(IPTL) na Pan African Power Solutions Limited (PAP) zilifungua kesi kwa kuhoji
uhalali wa maamuzi ya Kituo cha Kimataifa cha Kutatua Migogoro ya Uwekezaji
(ICSID) dhidi ya Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong (SCB-HK) na Martha
Renju (anayedaiwa kuwa msimamizi wa mali zake), iliyotolewa katika kesi ya ICSD
namba ARB / 10/20.
Katika hukumu hiyo iliyoandikwa na Jaji Dk. Fauz
Twaib na kusomwa kwa niaba yake na Jaji Amri Msumi Hamisi, Jaji Twaib aliamuru
Tanesco kutofanya biashara yoyote na SCB-HK au Martha Renju kwa niaba ya IPTL /
PAP bila ya idhini ya kimaandishi kutoka IPTL / PAP.
“Wadaiwa kwa pamoja wanazuiliwa kufanya
utekelezaji wa maamuzi iliyotolewa katika chombo cha kimataifa ya ICSD yenye
namba ARB / 10/20 na kusambazwa kwa wahusika Februari 12, 2014, kwa namna yoyote
ile, na kusubiri uamuzi wa mwisho wa kesi yao ya mdai, ” ilisomeka sehemu ya
hukumu hiyo.
Tanesco pia imezuiwa kutolipa kwa SCB-HK na
Martha Renju malipo yoyote wanayostahili IPTL / PAP bila ya idhini ya maandishi
kutoka kwa IPTL / PAP.
Mahakama pia imeizuia Tanesco kutotekeleza au
kukubaliana na au kuyatekeleza maamuzi ya ICSID, na kusubiri uamuzi wa mwisho
wa kesi yao ya msingi.
Pia mahakama hiyo ilitupilia mbali hoja ya
mwanasheria wa SCB-HK, Charles Morrison, ambaye alisema Mahakama Kuu ya Tanzania
haipaswi kusikiliza na kutoa maamuzi juu ya ombi hilo sababu Tanzania ni
mwanachama wa ICSID ambayo pia inajulikana kama Washington Convention au ICSID
.
Kwa mujibu wa Jaji Twaib, Wakili Morrison
alionya kuwa kama Tanzania haitotii wajibu huo, itajiweka sehemu mbaya katika
nyanja ya kimataifa.
Subscribe to:
Posts (Atom)