WELCOME TO ..... (KARIBU KATIKA..)
REPIN ROCK CITY
MY SUPPER MEMORY OF THE DAY
BY FRANK M. JOACHIM.
I and My Class Mate Rachel Vummu, it was a Valentine's Day Special Party in our Class room, in This Year of 2012. I was giving her a piece of Cake which was special for all Clas Mates.
That was before graduating our Diploma Studies at ROYAL COLLEGE OF TANZANIA-RCT
Soon we shall be to gether in our Graduation Ceremony in 08th December of 2012.
I miss Her and all My Class Mates
MNADANI LEO : WAITING FOR MY GRADUATION
Na Frank M. Joachim "Hasta La Vista Baby"
*****************************************
Hakuna Kitu ambacho ninakisubiri kama kuipokea Rasmi Diploma yangu ya Journalism and Broadcasting ambayo nimeisotea kwa Muda wa Miaka Miwili katika Chuo cha Royal "ROYAL COLLEGE OF TANZANIA-RCT"
Finaly Ndoto zangu Zitatimia kiasi cha kunifanya niungane na Swahiba wangu wa Kitambo NAH ABOUD JR katika Tasnia ambayo tulikuwa Tuitamani kwa muda Mrefu
NAWAPONGEZA WAFUATAO KATIKA JOHO LIJALO.
*****************************************************************
Wafuatao ni Class Mateswangu ambao Siku hiyo tutajaa Nyuso zenye Furaha.
1. Samwel Thomas
2. Rachel Vummu
3. Brian M. Thomas.
4. Yvone Mussa
5. Safiya Mohammed.
6. Khatim Naheka
7. Gladice Sigella
8. Joyce Buganda
9. Faster Gilbert
10. Grace G. Nkungu
11. Honesta Mzava
13. Emiliana David.
14. Haroun Kijazi
Sote kwa Pamoja tulikuwa katika Darasa Lililoitwa "Diploma May Intake 2010" na tukajipatia Title la "HEAVEN OF PEACE"
*****************************************
Hakuna Kitu ambacho ninakisubiri kama kuipokea Rasmi Diploma yangu ya Journalism and Broadcasting ambayo nimeisotea kwa Muda wa Miaka Miwili katika Chuo cha Royal "ROYAL COLLEGE OF TANZANIA-RCT"
Finaly Ndoto zangu Zitatimia kiasi cha kunifanya niungane na Swahiba wangu wa Kitambo NAH ABOUD JR katika Tasnia ambayo tulikuwa Tuitamani kwa muda Mrefu
NAWAPONGEZA WAFUATAO KATIKA JOHO LIJALO.
*****************************************************************
Wafuatao ni Class Mateswangu ambao Siku hiyo tutajaa Nyuso zenye Furaha.
1. Samwel Thomas
2. Rachel Vummu
3. Brian M. Thomas.
4. Yvone Mussa
5. Safiya Mohammed.
6. Khatim Naheka
7. Gladice Sigella
8. Joyce Buganda
9. Faster Gilbert
10. Grace G. Nkungu
11. Honesta Mzava
13. Emiliana David.
14. Haroun Kijazi
Sote kwa Pamoja tulikuwa katika Darasa Lililoitwa "Diploma May Intake 2010" na tukajipatia Title la "HEAVEN OF PEACE"
CHADEMA INAMVUTIA KASI KIKWETE
Na: Edson Kamukara
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Jakaya
Kikwete, kuwataka makada wa chama hicho kujibu mapigo ya wapinzani,akidai
wanafanya kazi ya kueneza uongo na kupotosha wananchi, CHADEMA imesema
inamvutia pumzi kabla ya kumjibu.Akihitimisha mkutano mkuu wa CCM mjini Dodoma
juzi usiku, Rais Kikwete aliwataka mawaziri na makada wa chama hicho kufanya
mikutano ya hadhara na kutumia vyombo vya habari kujibu hoja za wapinzani
badala ya kutegemea nguvu za Jeshi la Polisi.
Huku akionekana
kukasirishwa na kasi ya CHADEMA, Rais Kikwete alimtaja wazi wazi Katibu Mkuu wa
chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, kuwa aliwahi kumzulia uongo pamoja na mwanaye
Ridhiwani.
“Slaa aliita mkutano akasema mimi, mwanangu Ridhiwani na
Rostam Aziz tulikutana kwenye hoteli moja jijini Mwanza, huku akijua siku
aliyoitaja mi nilikuwa kusini nikiendelea na shughuli zangu,”alisema.
Rais Kikwete alisisitiza kuwa hiyo ndiyo kazi ya upinzani,watu
wazima hovyo,wanasema uongo mbele wananchi na hata wakati mwingine kwenye
vyombo vya habari wakinukuu takwimu za uzushi.
Alipoulizwa jana kuhusu madai hayo ya kueneza uongo kwa
wananchi,Dk.Slaa alicheka kisha akasema:“Tunawatafakari na tutawajibu,ila siyo
leo, wala hatuna haraka.
“Mimi kwa kweli
sikusikiliza hotuba yake, na hata mkutano wa CCM sijaufuatilia, ila kama
Kikwete kasema hayo unayoniuliza, basi tutamjibu kwa utaratibu rasmi wa chama,
leo sisemi kitu.
“Sisi ni watu makini, tunaamini katika kile tunachokisema
wala wasipaniki, tutawajibu.
Maana wanadhani
tunapoteza muda kufuatilia mkutano wao,nilimsikia hata Nape Nnauye akisema juzi
kuwa anajua tumeacha kazi tunawakodolea macho,”alisema.
Dk.Slaa alisema kauli ya Nape ambaye pia ni Katibu wa
Halmashauri Kuu(NEC),Itikadi na Uenezi wa CCM,inachekesha, kwani CCM ya wao
kuacha kazi zao na kuikodolea macho ilikuwa ya zamani si hii ya leo.
Katika kile kinachoonekana kama CHADEMA kuinyima usingizi
serikali na CCM,
Kikwete aliagiza
mawaziri wote kujiwekea utaratibu wa kila mmoja kutoa taarifa za utekelezaji wa
majukumu ya serikali katika vyombo vyote vya habari.
Alisema kwa vile viongozi wa chama na serikali hawajibu
taarifa za upotoshaji zinazotolewa na wapinzani, wananchi wanapozisikia
zikirudiwa rudiwa bila kukanushwa wanaziamini.
CONFIRMED : LINA NA AMIN WAMESEMA HIVI KUHUSIANA UHUSIANO WAO KWA SASA
Siku za hivi karibuni Amini na Linah ambao wamewahi kuwa wapenzi na hatimaye kuachana, wamekuwa karibu mno kiasi cha watu kuanza kuulizwa maswali kama wamerudiana tena. Leo November 15 wanaachia wimbo wao mpya waliofanya pamoja na ambao waliurekodi siku ya kuzaliwa ya Amini October 30.
Katika fainali za BSS zilizofanyika Ijumaa iliyopita,Amini
na Linah waliimba pamoja na kushangaliwa mno kutokana na jinsi walivyokuwa
wakiimba kama mtu na mpenzi wake. Ukweli ni upi? Wamerudiana ama ni marafiki
tu? Tumewatafuta na kufanya nao mahojiano mahsusi ili kuyarusha leo siku
wanayoachia wimbo wao ili wauseme ukweli.
Katika mahojiano haya Linah ameanza kwa kusema kuwa lengo la
wao kufanya wimbo wa pamoja ni kukata kile anachokisema ‘kilimilimi’ cha watu
kuwa yeye na Amini hawazungumzi tena baada ya kuachana. “Kulikuwa na maneno
mengi sana kwamba mimi na Amini hatuelewani, hatupatani, hatuna mawasiliano
mazuri,” anasema Linah.
“Lengo kubwa la sisi kufanya hivyo vitu kwa pamoja ni
kuwadhihirishia kuwa bado tunapendana (anacheka na kumuuliza Amini) Kwani ni
Uongo? Amini anajibu, “Hakika unenalo ni sahihi”. Linah anaendelea, “Hakuna
ukweli wowote kuwa tumerudiana au lah! Sababu kila mtu anafanya mambo yake na
tunafanya kazi kama kawaida japokuwa upendo bado uko pale pale.”
“Tutazidi kuendelea kuwepo kwasababu hatukugombana,
hatukukorofishana, hatujawahi kutukanana hata siku moja mawasialiano yako
vizuri tu, “anasema Amini.
Subscribe to:
Posts (Atom)