REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MPENZI WA CHRISTIANO RONALDO AMEKUTANA NA MAZITO.

7:00:00 AM

MADRID, Hispania

Wengi tunafahamu kabisa Kuwa Nchi ya NIGERIA iko katika Wakati Mgumu baada Wasichana zaidi ya 200 kutekwa na Kundi la kigaidi la BOKO HARAM

Sasa Tangu wasichana hao walipotekwa nyara na kundi hilo, watu mbalimbali maarufu duniani wamepost picha kwenye mitandao ya kijamii wakiwa na mabango yaliyoandikwa ‘Bring back Our Girls’, ikimaanisha wanajiunga na kampeni ya raia wa Nigeria.

Mwana mitindo Irina Shayk ambaye ni mpenzi wa mchezaji wa mpira wa miguu Christian Ronaldo yeye amepost picha kwenye twitter na Instagram akiwa amepoz mtupu huku akiwa ameshikilia bango linaloonesha amejiunga na kampeni hiyo, na bango hilo ndilo lililofunika kifua chake.

Hata hivyo kitendo chake hakikuungwa mkono na baadhi ya followers wake ambao walionesha moja kwa moja hisia kwa kumshambulia kuwa ameenda kinyume na maadili.


Follower wake Mwingine aliona kama amefanya dharau kwa kuwa tatizo hilo sio la nchi kubwa kama Marekani na kuhoji kama angediriki kufanya hivyo siku ya tukio kubwa la shambulizi la kigaidi la September 11 nchini Marekani.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER