Yaani Baada ya Kuamka Leo Asubuhi,kitu cha Kwanza kilichoukabili Ubongo wangu na Fikra zangu zote,ni namna ambavyo nitaimaliza Siku yangu ya Leo Vema, hasa nikiwa na Amani ndani ya Nafsi yangu.
Kwa Marafiki zangu na Wadau wangu wa DSM, ambako Mengi sana nimeyafahamu huku nikipata asilimiakubwa ya Elimu yangu huko, Kwa hivi sasa Nipo Mwanza nakula Samaki wa Kumwaga na Familia yangu.
Hahahaaaaa...Da'slaam huwa tunakula Bata, But Mwanza, huiku ni Mwendowa Kula "Sato" mpaka Sato anasema Sato.
Kwa Upande wa Mwanza,Huu ni Mwezi wa Pili sasa nikiwa huku,lakini sijakutana na Uvunjifu wa Amani. Sijasikia Milio ya Mabomu ya Machozi, Sijasikia Maandamano Bara barani, wala Tafrani ya aina Yeyote Ile.
Sasa, sijui siku ya Leoiko aje kwangu...namuomba Mungu anisaidi atleast Nirudi nyumbani nikiwa Swalama Bin Swalimiin.
EmoticonEmoticon