| "Mbona Hatokelezei?.....na Hatuondoki Kudadadeki...Labda sisi sio Wanahabari" |
| "Dah...Bongo pako vile vile...Siamini kama nimerudi napumua...Hivi hapa ndo nilipitishwa wakati naumwa?...hata sikupaona" |
| "Msijali wapendwa...naombeni nipite Kimtindo....ntawapa Story tu...msijali...najua ndo Njaa yenu" |
| "Okay...Nihoji basi....nakusikiliza swahiba...Enheee" |
| "Thank yuuu....Thenki Yuuu...Let me go home now....nimeimiss Familia yangu...Theeeenk Yuu" |
EmoticonEmoticon