BLACK TOUCHEZ
Mahakama ya wilaya ya MLELE
wilayani KATAVI imemuhukumu mwalimu wa shule ya msingi UKINGWAMIZI UNE THOM miaka 32 jela baada ya mahakama
kumkuta na hatia ya makossa mawili ya KUMNAJISI NA kumpa mimba mwanafunzi wake
mwenye umri wa miaka 16.
Mwanafunzi huyo alijifungua mtoto njiti na akafariki
baada ya muda,Ambapo hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo TEOTIMUS SWAI amesema
mashtaka yaliyotolewa dhikdi yake na ushahidi uliokuwa ukiongozwa na mkaguzi wa
polisi BARAKA HONGOLI imethibitisha kweli mtuhumiwa alitenda kosa hilo
Mwendesha mashtaka huyo aliongeza kuwa mtuhumiwa alikuwa na mahusiano ya
mapenzi ya muda mrefu sanaaaa.
EmoticonEmoticon