Na Baba Juti
INAONEKANA kabisa kuwa, Bado Rapper na Muimbaji
FUTURE, anazidi kumuandama sana Ex Wake Ciara, ambaye hivi majuzi tu alifunga
ndoa na Mchumba wake Russels na huenda wakawa wanatarajia kababy Kengine.
Kwa Mujibu wa Taarifa aminifu zinadai kuwa, Mwezi
Huu, Ciara alipeleka malalamiko yake katika Mahakama, na kuitaka kumuwekea Zuio
Future la kumzungumzia Ciara maana anazidi kumchafulia Brand yake.
Ciara anaamini kuwa, Endapo Future atawekewa Zuio
Hilo, basi itakuwa rahisi sana kufyata Domo lake na kuacha kabisa kumharibia
Jina lake pamoja na Brand yake ambayo inamsababisha ang'ae katika Biashara.
Awali, Ciara aliwahi kulalamika kuwa, Future
alichangia kwa asilimia kubwa kumharibia Deal la Pesa Ndefu sana kiasi kwamba
Kampuni husika ikaogopa kupiga naye kazi kuogopa kukosa wateja.
EmoticonEmoticon